Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,422
Lile sakata la masogange kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya, limeingia ukurasa mpya baada ya hivi karibuni rafiki wa masogange ambaye pia ni staa wa filamu aitwaye Irene uwoya, kumjia juu wema sepetu baada ya kumtaja masogange kuwa mi miongoni mwa ma staa wanaotumia na kuuza madawa ya kulevya, staa hyo alitumia tafsida kufikisha ujumbe kwa wema sepetu kuwa alichokifanya sio ustaarabu ,alimtaka staa hyo kujifunza kutatua matatizo yake bila kumshirikisha mtu.

Wema na uwoya ni mastaa ambao inasadikiwa wako kwenye bifu la chini kwa chini kwa muda mrefu, uenda sakata hili linaweza kuibua ugomvi mkubwa kwa mastaa hao wawili wenye mvuto wa aina yake.
0d4af2ad2c1425946e216485b5739984.jpg
 
Makonda alitaka Wenye Taarifa za Wauza na Watumia dawa za kulevya watajwe Na ndicho Wema alichofanya.

Mwakyembe pia kalalamika aliemchoma Masogange kubeba Unga mpaka akakamtwa Kafungwa kwa Kesi ya kusingiziwa mpaka Mwanasheria na Waziri wa Sheria ameshindwa kumchomoa. Wema apongezwe kwa Ujasiri
 
Unakosea Warumi. Usimtakane mtu au Kumkejeli mtu kwa matatizo aliyonayo. Nani ameprove kuwa hazai? Hayo ni mambo yunayoyaona sisi Wanadamu. Mungu ndiyo mwamuzi wa yote. Kila jambo linaenda na Muda
Wema mchawi , na pale alikua hajui kama anarekodiwa anaanza kuropoka utumbo, mi limeniboa sana kwa kweli, unajua ni bora aggy angekamatwa kivyake sasa wema ndo kafanya akamatwe, hyo ni binadamu sasa?

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Lile sakata la masogange kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya, limeingia ukurasa mpya baada ya hivi karibuni rafiki wa masogange ambaye pia ni staa wa filamu aitwaye Irene uwoya, kumjia juu wema sepetu baada ya kumtaja masogange kuwa mi miongoni mwa ma staa wanaotumia na kuuza madawa ya kulevya, staa hyo alitumia tafsida kufikisha ujumbe kwa wema sepetu kuwa alichokifanya sio ustaarabu ,alimtaka staa hyo kujifunza kutatua matatizo yake bila kumshirikisha mtu.

Wema na uwoya ni mastaa ambao inasadikiwa wako kwenye bifu la chini kwa chini kwa muda mrefu, uenda sakata hili linaweza kuibua ugomvi mkubwa kwa mastaa hao wawili wenye mvuto wa aina yake.
0d4af2ad2c1425946e216485b5739984.jpg
ila hii hata wasimulaumu mtoto wa sepetu bure, nani asiyejua kwamba masogange alikamatagwa na madawa ya kulevya? huyo nae uwoya hana jipya tu, aendelee kukodoa jicho lake kubwa ka nyanya chungu za rwanda....
 
Wema mchawi , na pale alikua hajui kama anarekodiwa anaanza kuropoka utumbo, mi limeniboa sana kwa kweli, unajua ni bora aggy angekamatwa kivyake sasa wema ndo kafanya akamatwe, hyo ni binadamu sasa?

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
uchawi wake ni nini? kuna mtu asiyejua kua masogange alikamatwa na madawa ya kulevya? harafu wewe kama si uwoya basi jirani yake... si kwa povu ili, nakuona nakuona...
 
Back
Top Bottom