warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Wakati sakata la audio inayosemekana ni mazungumzo baina ya mtu anayesadikiwa kuwa steve nyerere na mama wa wema sepetu kuvuja, Video queen maarufu nchini, Anna Patrick maarufu kama Tunda amemjia juu steve nyerere na kumtolea maneno ya shombo baada ya steve kusikika kwenye audio iliyovuja akimponda tunda kuwa ni mjinga kukubali kurubuniwa na makonda na kupewa mil 2.