Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Nyota wa Bongo flava TID amezidi kumchana Steve Nyerere baada ya Steve kumuita mpumbavu aliyehongwa na kuandikiwa speech aliyoongea kwenye mkutano wa Makonda
TID amesema Nyerere amemhatarishia maisha kwani anaonekana ni snitch mbeleya jamii kumbe sio
Pia amesema Nyerere kwake sio kitu kwa kuwa yeye ni Star tangia kitambo na u star wake unatokana na kipaji cha ukweli alichonacho sio Nyerere ambaye amefahamika kutokana na umbea na hana kipaji chochote