yolk
Senior Member
- Jan 29, 2017
- 137
- 240
Habari zenu wakuu.. (maana humu kila mtu ni mkuu)
Yule hit-maker wa Muziki, Darasa, alifanya vizuri sana na huo wimbo kiasi kwamba akapata "rate" kubwa ya viewers youtube (many viewers in a week) kuliko hata Salome ya Diamond.
Ilionekana mashabiki wengi wa Ali Kiba kunadi Darasa wakiwa wanamponda Diamond. Na wengine walidiriki hata "kumtukana" Diamond kwa kumlinganisha na Darasa..
Simply, Darasa amejimegea kiasi fulani cha mashabiki wa Ali Kiba.
Sasa naona Harmo-rapa naye baada ya sakata la kufananishwa na nyani, mashabiki wengi wa Ali Kiba walikuja juu na mapovu ya kutosha.
Simply, jamaa ameanza ku-take attention ya mashabiki wa kiba kidogo kidogo..
Sio ajabu siku moja Harmo-rappa kaenda Dodoma na akajaza watu kwenye show kama wale wa Iringa.