Steven Nyerere adaiwa kutapeli hoteli

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,061
ni hoteli aliyofanyiwa press na waandishi wa habari hoteli wanadai wanampigia ila hapokei simu, pia amesema yeye na wema wapo vizuri tena wanaweza kulala pamoja

 
Haka kajamaa kanatumika hadi kanajikuta kanajitumia kenyewe
 
Hapo ni kwamba aliambiwa wewe nenda, ongea nao, malipo iachie ofisi itashughulikia, Sasa ofisi imeamua kupotezea maana haijaona impact ya mkutano ule, kwa lugha nyepesi niiii, KATUMIKA.
kweli hakukuwa na impact na waandishi wamemdharau sana Yaani asubuhi kakusanya waandishi akalia lakini asubuhi yake waandishi hao hao wakaacha kumuandika aliyewaita wakamuandika aliyeenda uwanjani asubuhi

ningekuwa mie sijui ningejificha wapi
 
Back
Top Bottom