Ni nani huyo William Shao??
Ameshaibua vitabu vingine? Nimeshasoma vitabu vyake viwili lakini sijui kama ameshaandika vingine. Very interesting.Wapi william shao nguli wa uandishi wa vitabu tata!? Nahitaji kazi zake!
Sina hakika....mie pia najaribu kufuatilia.Ameshaibua vitabu vingine? Nimeshasoma vitabu vyake viwili lakini sijui kama ameshaandika vingine. Very interesting.
Kabisa mkuu kachukua hoja zilizo shaibuliwa muda kazitoa kwenye kingereza kaziandika kwa kiswahili, basi watanzania wamemuona ni mtu bright na makini sana.Watanzania ndio kawaida yetu
Kuibua hoja ambayo ilishaibuliwa
This is Lack of bright people
Ulishasoma kitabu hicho? Kama umekisoma sawa, lakini kama hujakisoma umejuaje hoja alizotoa zimeshaibuliwa na wengine? Au ni ule wivu wa maendeleo ya wengine?????Kabisa mkuu kachukua hoja zilizo shaibuliwa muda kazitoa kwenye kingereza kaziandika kwa kiswahili, basi watanzania wamemuona ni mtu bright na makini sana.
Any way akili ni nywele ukitaka kula na kipofu usimshike mikono.