Steve Nyerere sio staa kwangu, ni panya – TID

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Huu ni mwezi mbaya kwa mchekeshaji Steve Nyerere. Ni kwasababu kauli zake zimeendelea kumponza.

15535568_186577048477426_6960422007032774656_n.jpg

Hivi karibuni, kwenye mazungumzo yaliyovuja kati yake na mama yake na Wema Sepetu, alidai kuwa hitmaker wa Siamini, TID alipewa fedha na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili atoe hotuba kuhusu kuwa mtumiaji wa dawa za kulevya.

Mnyama alimind mbaya na kutishia kumshtaki mchekeshaji huyo. Na sasa mkali huyo ameibuka na kumwelezea Steve kuwa si staa kwake, bali ni kama panya tu.

“Steve Nyerere sio staa kwangu, he is a mouse,” ameiambia E-News ya EATV.

“Ukimuangalia kwanza he is a mouse, to me, me I have been doing this talent na nimejijengea umaarufu kupitia kipaji changu, sio kupitia uongo uongo, udananda sijui umbea umbea, sijafanya hivyo,” ameongeza.

“I have been working very hard to make this name. Huwezi kuniambia mimi eti nimepewa milioni mbili sijui, unanidhalilisha, kwanza unanihatarishia maisha yangu mtaani mimi nionekane snitch, nimewasnitch wananchi, nimepewa milioni 3 kuconfess pale, why? Milioni mbili na maisha yangu?

TID amemtaka Steve afike mbele ya mahakama athibitishe kuwa alichukua shilingi milioni 2, lasivyo patachimbika.
 
Tatizo mojawapo la wasanii wa bongo hawatofautishi uigizaji na maisha halisi.

Kazi zao za kisanii zinaonekana kama ndio maisha halisi na maisha halisi yanaonekana kama ndio usanii wenyewe.
''He is a mouse'' kwa Kiswahili nahisi amemaanisha Nyani haoni kundule.
 
Huu ni mwezi mbaya kwa mchekeshaji Steve Nyerere. Ni kwasababu kauli zake zimeendelea kumponza.

View attachment 475459

Hivi karibuni, kwenye mazungumzo yaliyovuja kati yake na mama yake na Wema Sepetu, alidai kuwa hitmaker wa Siamini, TID alipewa fedha na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili atoe hotuba kuhusu kuwa mtumiaji wa dawa za kulevya.

Mnyama alimind mbaya na kutishia kumshtaki mchekeshaji huyo. Na sasa mkali huyo ameibuka na kumwelezea Steve kuwa si staa kwake, bali ni kama panya tu.

“Steve Nyerere sio staa kwangu, he is a mouse,” ameiambia E-News ya EATV.

“Ukimuangalia kwanza he is a mouse, to me, me I have been doing this talent na nimejijengea umaarufu kupitia kipaji changu, sio kupitia uongo uongo, udananda sijui umbea umbea, sijafanya hivyo,” ameongeza.

“I have been working very hard to make this name. Huwezi kuniambia mimi eti nimepewa milioni mbili sijui, unanidhalilisha, kwanza unanihatarishia maisha yangu mtaani mimi nionekane snitch, nimewasnitch wananchi, nimepewa milioni 3 kuconfess pale, why? Milioni mbili na maisha yangu?

TID amemtaka Steve afike mbele ya mahakama athibitishe kuwa alichukua shilingi milioni 2, lasivyo patachimbika.

Haya ndo mambo chadema waliyobakiza, umbea tu kama Wema na Mama yake, yaani wanaume wazima si ajabu mna familia mnafanya mambo ya kusutana? Nilijua chadema imeharibika lkn siyo kiasi hiki, sasa kipi kinafwata, kufunga kanga kama Wema na kulingia makalio makubwa au?
 
Uyo TID ni kijana mwadilifu wa CCM tena kipenzi wa kiongozi wa karne hii Ndg Bashite na upande wa pili Steve Mengere(Nyerere) ni think tank kwa vijana wote wa CCM yeye ndio anaongoza safu ya kusambaza sera za CCM sioni hapo CHADEMA wameingiaje,endeleeni kaparuana wenyewe akina Uwoya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom