Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msanii chipukizi Harmorapa amefunguka hayo alipokuwa anahojiwa na EATV, pia amesema hana mpango wa kubadilisha jina japo ana bifu na WCB
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Msanii Ali Kiba amekiri hajui kuongea kiingereza vizuri, lakini hata hivyo amedai kiingereza sio ishu na kwa kuwa ameimba Kiswahili na amepiga hela na kuchukua tuzo mingi. Pia amesema Wanaosemwa...
3 Reactions
183 Replies
17K Views
Hapa bongo tuna mastaa mbalimbali wa fani tofauti,, lakini mastaa hao wamekuwa na mambo ya kuchekesha kama sio kuudhi, mastaa wa bongo wanapenda kuonekana kwenye magazeti, kiki zisizo na msingi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kutajwa kote huku kwa Mkuu wa MKoa wa Dar es salaam hajafikia viwango cha kuwa Celebrity? Maana hata kwa sisi wa mikoa ya huku upenuni tunafuatilia kinachojiri huko Dar es salaam kuhusu Makonda...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kundi la WCB WASAFI wamekuja na website yao itakayouza kazi zao mitandaoni. wasafi. com
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Huyu jamaa ni mbunifu sana, anakipaji na hutoa vitu ambavyo ni tofauti sana na wasanii wengine! Ni stand up comedy mzuri na pia kwenye nyanja nyingine za sanaa yupo vizuri! Hii ni video yake...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Najaribu kufikiria tu,itakuwaje 2030 kama hali sasa ndio hii!Wadada mungu anawaona,ila style hiyo ya Minaj ukiwa na lapa huwezi ifanya!Wale wa kupiga jeki hii haiwahusu kabisa
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Mwanamuki kutokea hukooo mji kasoro bahari, Dayna Nyange alizua gumzo na vipicha vya nusu uchi anavyotupiaga mtandaoni ila alipoulizwa na mtangazaji wa EATV alidai picha hizo zinamsaidia sana...
1 Reactions
36 Replies
15K Views
Heshima kwenu wana jamvi wenzangu..Kwanza nianze na masikitiko makubwa niliyonayo juu ya Kamati nzima ya Miss Tanzania,Waziri wa Habari na Michezo mh Nape Nnauye,kiukweli munatuumiza sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni aibu kwa mwanamuziki mkubwa kama Diamond kukosa website,zaman alikuwa na blog lakini nayo kww sasa imekufa, Inabidi atengeneze website nzuri iwe yake binafsi ama hata ya wcbwasafi,ambapo humo...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Nani zaidi wadau Dan cooper ama Stunter P.s Dan cooper kumbe uko ilala mchikichini
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Zari kama mwenyewe anavyojiita bosslady wiki aliopita alisaini mkataba wa kuwa Brand ambassador wa GSM mall zilizopo Pugu na Msasani. Tayari ameshafanya tangazo bado kutoka tu, pia jana alikuwa...
19 Reactions
176 Replies
28K Views
Hivi mmesikia huu wimbo mpya wa linah unaitwa kosa sina? Aiseeh ni shigidaa, linah Ana sauti mubashara, dah ile Sauti sio ya nchi hii hakyamungu, mtoto anaweza mpaka anaboa, hongera sana linah...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Msanii wa Bongo Movie baada ya mumewe Chid Mapenz kuswekwa lupango kwa tuhuma za madawa ya kulevya , msanii huyo amedai misuko suko kwenye ndoa ipo na alishaonywa kuwa ndoa inakuwa haijanyooka...
2 Reactions
15 Replies
8K Views
Mafahali wawili ndani ya kiwanda cha muziki wa hip hop bongo, namzunguzia dogo janja na young killer msodoki, hivi karibuni wameingia kwenye vita ya maneno mitandaoni kisa kikidaiwa kuwa ni gari...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
LIZABETH Michael ‘Lulu’amefunguka kuwa anajivunia uamuzi wake wa kutojihusisha na siasa maana amepata amani ya moyo kuliko wasanii wenzake ambao kwa sasa wapo kwenye malumbano ya kisiasa. Mrembo...
6 Reactions
66 Replies
6K Views
Baada ya kuweka wazi mahusiano yake na tajiri mmoja wa Nigeria aishie Dubai, socialite maarufu East Africa Vera Sidika anaendelea kuwa gumzo kwenye social networks. Kwenye pita pita yangu...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Pamoja na kupata mafanikio makubwa kwenye muziki msanii number moja Afrika D. Platnumz Dangote pia amerudisha kwa jamii baada ya kutoa misaada mbalimbali na sasa atawasaidia waathirika wa mafuriko...
14 Reactions
143 Replies
30K Views
Back
Top Bottom