Izzo Business na Yule mdada wa US wangekuwa couple tu

gerit

JF-Expert Member
Jul 16, 2016
307
181
Wadau weekend inaendaje!!

Nilikuwa najipumzisha kwa kuchek planet bongo EATV na kuona jinsi walivyopendeza Izzo na uyo Dada wa USA.

Na kwamba Izzo ameonesha kijana wa hekima sana kwa kutojitutumua na kujiweka kama mmiliki wa uyo ingawa nafasi alikuwa nayo.

Kwa Mimi nionavyo wakiwa couple watafanikiwa sana in all fields sbb wanamatch vema.

Wakuu mnaonajeeee????

7ccf02e0a6b67ffb52f6cf93f6f09bbd.jpg
 
nipe nipe namba ya abella music nimpigie...maana izzo business amesema huyo mtoto mkali sio mupenzi wake
 
Back
Top Bottom