Gnako na Jux mmetisha

jimmy jimble

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
216
216
go low ni bonge langoma na video yake imesimama yani ni good music aisee.tukiendelea hivi tz tutafika mbali zaidi.......keep it up guys

===========================================

G Nako amekua faster kunotice beat zinazotamba kwa kipindi hiki, ile beat itasikilizwa kila mahali hiyo ni dhahiri.
Ila video naona idea kama imefanana na ya 'Arosto'. Watu kibao eneo moja kama vile kuna party, mnatokea kwenye gari kufuata uelekeo wa party na ishu kama hizo.
Ukiachilia hivyo hii ngoma ni kazi kazi.
 
Wote walioisifia huu wimbo basi tuwaangalie marambili mbili,
wimbo mbovu haufai kukaa hata bonus track, wao wenyewe wanachokiimba hawakielewi,
beat ni copy ya Ben pol- Phone...
Yani wimbo wa hovyohovyo
Tatzo umekalili ishu ya beat kucopy haipo.. bongo sample ya beat ni zile zile zina fanana ishu ipo kwenye mix tu ndio tofauti.. kwahyo kuhusu cjui kucopy ya Ben pol huo ni unazi binafsi
 
Hawa watu wanaosema beat imefanana na ya phone ya ben pol,wanajua muziki kweli?
 
G nako Ft Jux_Go Low
 
Attachments

  • GNAKO%20AND%20JUX%20-%20GO%20LOW.mp3
    3.4 MB · Views: 39
Jux sijui kwanini anafanya haya mamiziki ya ajabu ajabu, angebaki kwenye muziki wake aliyoanza nao, maana sioni akifanya vizuri huku kwingine, huu wimbo ni wa hovyo.
 
Jux sijui kwanini anafanya haya mamiziki ya ajabu ajabu, angebaki kwenye muziki wake aliyoanza nao, maana sioni akifanya vizuri huku kwingine, huu wimbo ni wa hovyo.
Luvanga1 Ukiambiwa usipende kubisha bisha,
Huo wimbo ni mbaya na hauwezi kuwa mzuri, walichoimba humo ndani hakieleweki, beat mbaya, ovyo ovyo
 
Luvanga1 Ukiambiwa usipende kubisha bisha,
Huo wimbo ni mbaya na hauwezi kuwa mzuri, walichoimba humo ndani hakieleweki, beat mbaya, ovyo ovyo
Lugha shida kidogo.. wimbo uko ovyo hayo ni maoni yako mwenyewe na baki nayo kwann tubishane #Go__Low
 
Back
Top Bottom