Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kiukweli inawezekana hizo tuhuma za kumpiga huyo Khalid wa South dolar 150 milion zikawa za kweli maana hizi picha zinaonekana zimepigwa airport ya South Africa,Uganda casket haikufunguliwa na...
4 Reactions
97 Replies
26K Views
Alianza Ray kigosi na maji yake, watu wakapiga hela kupitia skendo yake ya utumiaji maji. Na hapa katikati kuna huyu Wolper naona makampuni ya manukato yameshindwa kufanya nae biashara kuhusiana...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Aiseee Kwanza Daimond mimi ni Fan wako sanaa Hapa Duniani....kinachofanya ni kupende Ni vile unavojituma na kuto kukata tamaa kwako!! Kabla sijakushauri nilicho taka nikushauri kwanza Kabisaaa...
15 Reactions
50 Replies
5K Views
Zari na familia yake wamewasili alasiri ya leo nchini uganda pamoja na mwili wa Ivan,Tayari kwa mazishi siku ya jumanne Rest In Peace Ivan Monday 29 may Funeral service at St Paul's Cathedral...
8 Reactions
173 Replies
39K Views
Habari za J'mosi Huko insta nimekuta kuna wanaoomba itokee ndoa kati ya Madame na Golden boy wetu, sifahamu ukaribu iliopo kati ya wawili hawa, lakini mna maoni gani katika hili?
2 Reactions
67 Replies
12K Views
Harmorap Adaiwa kuwa ni Freemanson, Account yake FB na PETE yadhirisha hilo . JE UMAARUFU WAKE WA GHAFLA UMESAIDIWA NA FREEMANSON AU KIKI? TOA MAONI YAKO HAPA
1 Reactions
23 Replies
13K Views
Kwenye ukurasa wake wa Fb, Emmanuel Mbasha amemtakia heri mkewe wa zamani Flora, kwa kuandika "Happy Birthday Mrs Daud Kusekwa" Watu wa karibu wa Emmanuel Mbasha wanasema amekuwa na msongo wa...
4 Reactions
97 Replies
15K Views
  • Closed
Hii ni kama Tetesi ndio maana nimeweka jukwaa hili. Kuna mambo mengi sana ya muhimu ila yanaondolewa kwenye mstari na vitu kama hivi Sasa namtafuta aliyeigiza sauti ya KUB Nitaendelea kuwajuza...
10 Reactions
232 Replies
29K Views
Staa wa Hiphop Tanzania FidQ Leo Amewafungukia Baadhi ya watu wanaolalamikia kuwa mwanasoka wa Uingereza David Beckham kupost picha Akiwa Tanzania bila ya Kuandika IG kwa watu wake.. Kuwa yupo...
4 Reactions
18 Replies
6K Views
Dogo aliyekuwa akiunda kundi hilo Beka amedai Mkubwa Fella kuingia kwenye siasa kumechangia kuishusha Yamoto Band kwa kuwa alikuwa busy na shughuli za serikali zaidi, pia amesema walikuwa...
2 Reactions
19 Replies
7K Views
Hebu mwenye namba ya huyu dada anisaidie. Nimejaribu kuziba hisia zangu najidanganya, nampenda Rose Ndauka mpaka nakufwaz. Wanasema age is just a number. Waungwana nisaidieni jinsi ya kumpata...
4 Reactions
96 Replies
41K Views
Chanzo chetu ambacho ni makini kilipenyeza kuwa, katika tukio hilo la hivi karibuni, staa huyo alikuwa hafahamiani na mwanaume huyo, lakini kuna kijana mmoja ambaye mara nyingi anawakuwadia mastaa...
6 Reactions
70 Replies
24K Views
Watanzania kwa unafiki tu hatujambo, sishangai ndio maana hatuendelei. Leo nimeshangaa sana baada ya kuingia kwenye mitandao ya kijamii nakuta watu wengi wakilia na kuonyesha kuumia sana na kifo...
28 Reactions
119 Replies
16K Views
Japo mwenyewe Mghaibuni Mpinzani kila uchao anaonekana ni Mtu mjivuni huku kila mara akijinadi kuwa sijui ana Masters Degree na kwamba ameishi huko Marekani muda mrefu na kwamba ana maisha mazuri...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni shabiki nguli wa Sir Nature mkali wa rap katuni. Pia naamini wengi watakubaliana na mimi kuwa mwamba huyu alinyanyasa sana kwa nyimbo zake karibu zote za miaka ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hakika uwezo wa Bellenine ni wa juu sana. Kijana hana skendo wala mbwembwe ila muziki wake na talent yake ndio inambeba. Wcb wametoa nyimbo mia maskendo na promo. Benpol kajianika utupu wake...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Nyie teams mbili mnaowashabikia hawa wasanii wa Tanzania mnapaswa kuwajenga na si kuwabomoa... Nimeona posts nyingi za members wa timu hizi wakijitahidi kuwabomoa na kuwaharibia sifa wasanii wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Mnajua mtu unapoamka unawakumbuka ndugu jamaa na marafiki ili kujua wanaendeleaje, kwa zama za sasa tunakutanishwa sana na mitandao ya kijamii km watsap nk. Siku za hivi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama umekulia vijijini kama mimi hasa vijiji vilivyo mikoa ya nyanda za juu kusini basi huwezi acha kumjua huyu dada maarufu kwa nyimbo zake maaraufu kama nyimbo za "ntombi" au "funk 36" kwani...
2 Reactions
19 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…