Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 602
- 1,665
Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni shabiki nguli wa Sir Nature mkali wa rap katuni.
Pia naamini wengi watakubaliana na mimi kuwa mwamba huyu alinyanyasa sana kwa nyimbo zake karibu zote za miaka ya 2000.
Ushauri wangu ni kwamba Nature anatakiwa kurudi na Remix ya nyombo zake kwa kuanzia na MUGAMBO Remix Ft MR. FLVOUR wa NIGERIA. HAKUNA KULALA Remix ft DAVIDO , Pia Aangalie wa kufanya nae MTOTO IDD REMIX.
Kitu cha msingi usibadilishe beat hasa kwa wimbo kama Mugambo. Pia unatakuwa kurekodi katika studio kama kwa Tenkno au Wasafi pia upate promo ya kutosha hasa nje ya nchi.
Hata hapa tz kizazi kinacho mjua nature wengi sio wateja au supporter wa nyimbo hizo tena maana wamekuwa kadingi na mamaza kwa sasa so unabidi kukamata ma barobaro.
Pia achana na mbege maana nasikia unzitiririsha kwelilkweli kama muonjaji wa TBL.