GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Japo mwenyewe Mghaibuni Mpinzani kila uchao anaonekana ni Mtu mjivuni huku kila mara akijinadi kuwa sijui ana Masters Degree na kwamba ameishi huko Marekani muda mrefu na kwamba ana maisha mazuri ila ukiwa makini ukiwatizama Watoto wake na maisha yao unaweza usione tofauti yoyote na hawa Watoto wetu wa Uswahilini na si ajabu hata hawa Wetu wa Uswahilini wakawa wanaishi vizuri kuliko wake Mghaibuni Mpinzani.
Kama kweli Mghaibuni Mpinzani yupo njema kimaisha huko Marekani sasa inakuwaje kila siku tunawaona tu Watoto wake hao anaodai ni wa Kishua wakiwa wamevalia Nguo zile zile tu huku mara kwa mara wakionekana wamepauka na midomo yao ikionyesha dalili zote za Ukame wa Tumboni namaanisha Njaa kali?
Japo kweli Mghaibuni Mpinzani yupo Marekani ila ukitumia vizuri kabisa jicho lako la tatu utagundua kuwa yawezekana Watoto wa Mghaibuni Mpinzani wanaishi maisha ya taabu mno tena kuliko hata hawa Wetu wa Uswahilini Tanzania ila Mama yao Mghaibuni Mpinzani anatuzuga tu.
Je ni kwanini Watoto wa Mghaibuni Mpinzani mwonekano wao hasa wa Kimaisha haupishani sana na hawa Watoto wetu wa Uswahilini Tanzania? Mbona Watoto wa Watanzania wenzetu wengine ( Waghaibuni ) hata ukizitizama tu picha zao wanazopiga wakiwa huko huko Majuu / Mamtoni / Marekani wanaonekana wako njema kitu ambacho ni tofauti na Watoto wa Mghaibuni Mpinzani?
Nawasilisha na nayasubiri kwa mshawasha kabisa majibu yenu kumhusu Mghaibuni Mpinzani.