Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jun 4, 2017 #1 Hii ni kama Tetesi ndio maana nimeweka jukwaa hili. Kuna mambo mengi sana ya muhimu ila yanaondolewa kwenye mstari na vitu kama hivi Sasa namtafuta aliyeigiza sauti ya KUB Nitaendelea kuwajuza Build Up: Wenu Ethos
Hii ni kama Tetesi ndio maana nimeweka jukwaa hili. Kuna mambo mengi sana ya muhimu ila yanaondolewa kwenye mstari na vitu kama hivi Sasa namtafuta aliyeigiza sauti ya KUB Nitaendelea kuwajuza Build Up: Wenu Ethos
Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jun 4, 2017 Thread starter #3 shungurui said: Duh Click to expand... Habari ndio hiyo
Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jun 4, 2017 Thread starter #9 heradius12 said: Analijipua kweli Click to expand... Yani ndio huyo
Pierreeppah JF-Expert Member Feb 2, 2014 1,563 1,981 Jun 4, 2017 #10 Bongo kuna wasanii wa kila kitu, ilmradi pochi yako iwepo
RealTzboy Senior Member Jan 3, 2017 158 201 Jun 4, 2017 #12 INASEMEKANA ALIYEIGIZA SAUTI YA WEMA NDO HUYU RAFIKI YAKE MPOKI
Bry N JF-Expert Member Jan 4, 2014 702 774 Jun 4, 2017 #14 Leteni ubuyu huo yani ile saut live kabisa
Mr. MTUI JF-Expert Member Feb 18, 2013 8,130 8,351 Jun 4, 2017 #15 Kwahiyo wale waliokuwa wanasema mtu ameigiza wameshaupata ukweli
Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jun 4, 2017 Thread starter #16 maka11 said: Leteni ubuyu huo yani ile saut live kabisa Click to expand... Na hii?
Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jun 4, 2017 Thread starter #17 kilambalambila said: Hamna kitu yule ni wema tu Click to expand... We Bisha sasa
cocochanel Platinum Member Oct 6, 2007 27,301 74,832 Jun 4, 2017 #19 Ha ha ha haaaaaaaaaa Sie tumesikia tumeburudika na kujua kinachojiri. Mengine tungeni hadi mchoke, au wafungulieni kesi wakajibu mahakani tuone.
Ha ha ha haaaaaaaaaa Sie tumesikia tumeburudika na kujua kinachojiri. Mengine tungeni hadi mchoke, au wafungulieni kesi wakajibu mahakani tuone.