Mkuu unauwa huna huruma na madame?Wema asimletee mikosi champion boy.....yan acheze na kunguni zote tanzania amuache samatta aishi maisha yake ya amani..
Wema kwa sasa size yake ni HAMORAPA tu..maana samata haitaji kiki wala umaarufu ili afunge magoli
Mbona Daimo anakula nungayembe bwana!!Hilo jamvi la wageni ndilo alalie Golden Boy? Au sijaelewa mada!
Kwa hili, hata mimi siungi mkono. Ebu muache Samatta acheze mpira. Mwondoleeni uchuro!Habari za J'mosi
Huko insta nimekuta kuna wanaoomba itokee ndoa kati ya Madame na Golden boy wetu, sifahamu ukaribu iliopo kati ya wawili hawa, lakini mna maoni gani katika hili?