Binafsi nilimuelewa zari.tatizo watu wanaona maisha ya maceleb wengi ya kwenye social networks ndio uhalisia wao.watu wachokiwaza wao juu ya marafiki zake pamoja chibu nitofauti kabisa aiseeh.
Mungu amtie tu nguvu kwakweli
Nilijua mimi mwenyewe ndie nikuwa nikimuwazi hivyo.mwanamke wa ajabu sanaaa.wanawake wenye ujasiri kama wa huyu ni hazina sehemu fulan..madhaifu mengine ni ya kibinadamuAnajitambua sana huyu mrembo. Ni nadra sana kupata wanawake kama huyu katika dunia ya leo. DP ana bahati sana mie nawatakia maisha marefu yenye mapenzi mazuri na furaha tele. Nadhani kama wanataka kuoana sasa wanaweza kuwa huru kufanya hivyo kwani kulikuwa na tetesi kwamba Zari na Ivan walikuwa hawajaachana rasmi.
Nilijua mimi mwenyewe ndie nikuwa nikimuwazi hivyo.mwanamke wa ajabu sanaaa.wanawake wenye ujasiri kama wa huyu ni hazina sehemu fulan..madhaifu mengine ni ya kibinadamu
Kama walikuwa wanampango huo wa kufunga ndoa,,basi Mungu awatangulie kwa kila jambo.
Huyu mama Ana watoto wangapi vile?Akiwa na akili nzuri DP nadhani mwaka huu hautamalizika kabla ya kufunga ndoa. Maneno yote ya kuwaharibia penzi lao ayaache yaingie sikio moja na kutokea lingine wala asiyape muda kwa namna yoyote ile.
WatanoHuyu mama Ana watoto wangapi vile?
Daimondi anao wangapi?!Watano
swali gumu hiloDaimondi anao wangapi?!
Uzuri ni kwamba wote ni waelewa sana.yaliyopo ni mapungufu ya kibinadamu tu.Mungu awatangulie.Akiwa na akili nzuri DP nadhani mwaka huu hautamalizika kabla ya kufunga ndoa. Maneno yote ya kuwaharibia penzi lao ayaache yaingie sikio moja na kutokea lingine wala asiyape muda kwa namna yoyote ile.
Hayo maswali mengine yaliyobaki muulize mwenyewe NassibDaimondi anao wangapi?!
Asante mkuu kwa kunisaidiaswali gumu hilo
Akili kubwa zinajua kinachofuata!!!!swali gumu hilo
Uzuri ni kwamba wote ni waelewa sana.yaliyopo ni mapungufu ya kibinadamu tu.Mungu awatangulie.
Nawaza usiku huu huku nikitembea ktika vichochoro vya kwamtogole..hivi ingekuwa ni yule mwingine angepata kweli ujasiri wa hili jembe aise..ni katika harakati za kuwaza tu.
Kwa swala la kuanguka hilo ni given!! Wala usiwatabirie haters lolote!!!!Kweli kabisa hata DP ukitilia maanani alipotokea hadi alipo sasa kimaisha pamoja na kutokuwa na elimu ya juu inaonyesha pia naye pia yuko vizuri kichwani pamoja na mapungufu yake ya hapa na pale. Tanzania kumekuwa na Wanamuziki wengi kwa miaka mingi sana lakini hakuna aliyepata mafanikio kimaisha kama DP pamoja na haters kutaka kumuona anaanguka kwa namna yoyote ile.
Mkuu mmmh ndoa tena?! Kipi kilikuwa kinawazuia wasioane? Kwani ndoa yake na Ivan ilikuwa ya kanisani? Age gap nayo maneno ingine Mkuu. Ingawa Zari si mkubwa kivileee kupishana na Mondi lakini umri umri inasumbua kujicommit Mkuu. Kikubwa alee watoto wake vyema kama Mungu aliwaandikia waishi pamoja na iwe hivyo na Mungu atawaongoza.Anajitambua sana huyu mrembo. Ni nadra sana kupata wanawake kama huyu katika dunia ya leo. DP ana bahati sana mie nawatakia maisha marefu yenye mapenzi mazuri na furaha tele. Nadhani kama wanataka kuoana sasa wanaweza kuwa huru kufanya hivyo kwani kulikuwa na tetesi kwamba Zari na Ivan walikuwa hawajaachana rasmi.
Mkuu mmmh ndoa tena?! Kipi kilikuwa kinawazuia wasioane? Kwani ndoa yake na Ivan ilikuwa ya kanisani? Age gap nayo maneno ingine Mkuu. Ingawa Zari si mkubwa kivileee kupishana na Mondi lakini umri umri inasumbua kujicommit Mkuu. Kikubwa alee watoto wake vyema kama Mungu aliwaandikia waishi pamoja na iwe hivyo na Mungu atawaongoza.
Katika mapenzi umri sio big deal. Wore Wawili (Z) na (DP) wanajitambua, wanajielewa na kadhalika.Kama wamefanikiwa kukwepa na kufaulu kuziba masikio kwa makelele ya haters ninaamini ni couple nzuri.Mkuu mmmh ndoa tena?! Kipi kilikuwa kinawazuia wasioane? Kwani ndoa yake na Ivan ilikuwa ya kanisani? Age gap nayo maneno ingine Mkuu. Ingawa Zari si mkubwa kivileee kupishana na Mondi lakini umri umri inasumbua kujicommit Mkuu. Kikubwa alee watoto wake vyema kama Mungu aliwaandikia waishi pamoja na iwe hivyo na Mungu atawaongoza.
I agree with you comrade BAK. Pakawa ondoa shaka tuwaombee wawe na maisha mazuri.Pakawa sijui hawa ndoa yao ilikuwaje lakini inadaiwa kisheria walikuwa bado ni mume na mke. Niliona mahojiano yao hivi karibuni ambapo DP alidai kwenye majaliwa mwaka huu watafunga pingu za maisha.
Inawezekana hilo la umri ni tatizo lakini kwa maoni yangu si tatizo kubwa kihivyo especially if you take into consideration that they have 2 kids together.