Kumekuwa na ukimya sana kuhusu Chid Benz; Yuko waoi

babake nasreen

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
703
491
Wakuu habari zenu,
Mnajua mtu unapoamka unawakumbuka ndugu jamaa na marafiki ili kujua wanaendeleaje, kwa zama za sasa tunakutanishwa sana na mitandao ya kijamii km watsap nk.

Siku za hivi karibuni kulikuwa na ndugu yetu chid benz au Rais wa (La familia) ambaye alikuwa amekumbwa na janga la dawa za kulevya kukawa na purukushani na mambo mengi dhidi yake, mara amepelekwa Rehab mara katoroka mara vile nk.

Ghafla imekuwa kimya naomba anayejua yuko wapi na anaendeleaje MSANII CHID BENZ ATUJUZE..
ff9a5f4ef682a3e892298c49855260d4.jpg
 
Usela mwingi mbele kiza. Masela wengi wanalost kwa kujifanya wao ni manyoko, Chid Benz sifa ndio zimemmaliza kwa kujifanya yeye ndio DMX
 
Back
Top Bottom