Team Diamond & Team Kiba shabikieni kwa lengo la kujenga

Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
6,993
2,000
Nyie teams mbili mnaowashabikia hawa wasanii wa Tanzania mnapaswa kuwajenga na si kuwabomoa...

Nimeona posts nyingi za members wa timu hizi wakijitahidi kuwabomoa na kuwaharibia sifa wasanii wa kila upande.

Nawashauri kuwa ulimwengu wa sasa everything is business na mbadilike msiwe kama yule mdada aliyeko Marekani ambaye amepata malezi ya kutukana watu mitandaoni.

Badilikeni bana mnaboa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom