Beka: Mkubwa Fella kuingia kwenye siasa kumesababisha Yamoto Band tushuke

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Dogo aliyekuwa akiunda kundi hilo Beka amedai Mkubwa Fella kuingia kwenye siasa kumechangia kuishusha Yamoto Band kwa kuwa alikuwa busy na shughuli za serikali zaidi,

pia amesema walikuwa hawapewi fedha kutokana na show walizokuwa wakifanya bali walikuwa wakifanyiwa vitu kama kujengewa nyumba na kuandaliwa project mpya za muziki

Huyu dogo kutoa ngoma moja kama solo ndio kaona tayari amemaliza... hivi isingekua show zile wewe tungekujua wapi beka?
 
Huyu dogo kutoa ngoma moja kama solo ndio kaona tayari amemaliza... hivi isingekua show zile wewe tungekujua wapi beka?
Kwa hiyo ulitaka awe anafanya show bure kisa bila hizo show usingemfahamu?!
 
Huyu dogo kutoa ngoma moja kama solo ndio kaona tayari amemaliza... hivi isingekua show zile wewe tungekujua wapi beka?

Mkuu kakosea wapi? mbona yuko genuine kabisa ...au kajigamba au karinga??

unajihisi
 
Wakishaamini unawaitaj zaid ya wanavyokuitaj mapenz ya wadau wamjin ugeukà-->KA".. samaki na maji. Uishi ndan yake 2! nje yake uvuliwe, kwamsaadake upikwe kisha awanawishe uliwe.
 
Back
Top Bottom