Duuuh we noma kweliUzushi huo nadhani
Wacheni ujinga soma charter ya freemasons hawachukui watu hovyohovyo. Hizi societies sio za kwetu!Harmorap Adaiwa kuwa ni Freemanson, Account yake FB na PETE yadhirisha hilo
.
JE UMAARUFU WAKE WA GHAFLA UMESAIDIWA NA FREEMANSON AU KIKI? TOA MAONI YAKO HAPAView attachment 516317
Kwani lucifer anaweza,kuweka mtu milele?Inthe,Ee,Mungu utusaidie,Harmorap Adaiwa kuwa ni Freemanson, Account yake FB na PETE yadhirisha hilo
.
JE UMAARUFU WAKE WA GHAFLA UMESAIDIWA NA FREEMANSON AU KIKI? TOA MAONI YAKO HAPA