Uliwahi sikiliza nyimbo za huyu dada Ntombi Marhumbini?

Reghia

Senior Member
Sep 29, 2016
126
113
Kama umekulia vijijini kama mimi hasa vijiji vilivyo mikoa ya nyanda za juu kusini basi huwezi acha kumjua huyu dada maarufu kwa nyimbo zake maaraufu kama nyimbo za "ntombi" au "funk 36" kwani zilikua zikipigwa sana kwenye vilabu vya pombe na harusi hasa baada ya bibi arusi na bwana harusi kuondoka NA ambushi za kufukuza wanafunzi kuanza ....nyimbo kutoka kwenye albamu zake kama JELANI JELANI na MFANANYANA zilibamba sana.. Lkn cha kusikitisha ni kwamba ukienda Wikipedia hakuna hata story fup ya huyu mwanadada toka South Africa.
JE UNAMKUMBUKA?NIAMBIE UNAKUMBUKA NN UKISIKIA NYIMBO ZAKE!?
 
Kweli We Wa Bushi. Kuna Mwingine Alikua Anaitwa Pamela Nkutha. Hahaha Watu Wa Bush Bana Hatari Na Miziki Yao. Japo Pamela Nilimkubali Kdogo Hasa Ule Wimbo "Masututso" Wimbo Slow Af Unakupa Mawazo Ya Mbali Enzi Ya Primary School.
 
Aiseeh Reghia na mangelengele mmenikumbusha sana,mpaka leo tape zao zipo home,nataka nijue km kuna sehemu wanaamisha kutoka tape kwenda cd nipeleke ziwe katika muundo wa cd.
 
Nina baadhi ya nyimbo za ntombi kwenye mfumo wa audio ntaziupload baadhi yake asee
 
Kama umekulia vijijini kama mimi hasa vijiji vilivyo mikoa ya nyanda za juu kusini basi huwezi acha kumjua huyu dada maarufu kwa nyimbo zake maaraufu kama nyimbo za "ntombi" au "funk 36" kwani zilikua zikipigwa sana kwenye vilabu vya pombe na harusi hasa baada ya bibi arusi na bwana harusi kuondoka NA ambushi za kufukuza wanafunzi kuanza ....nyimbo kutoka kwenye albamu zake kama JELANI JELANI na MFANANYANA zilibamba sana.. Lkn cha kusikitisha ni kwamba ukienda Wikipedia hakuna hata story fup ya huyu mwanadada toka South Africa.
JE UNAMKUMBUKA?NIAMBIE UNAKUMBUKA NN UKISIKIA NYIMBO ZAKE!?
Mie ninazo kama 30+
Siku nikiwa na kifurushi cha kutosha nitazipandisha hapa. Ni nzuri sana
Ndio nyimbo zangu hizo pamoja na za akina Mbuta Likasu, Wenge Musica, Extra Musica, Pamela Nkuta, Yondo Sister, Loketo(Aurlus Mabele), Sahlomon, Luciana Bokilo, Papa Wemba, Koffi Olomide, Ivon Chakachaka na wasanii wengine kiao wa zamani. Hizi ongo Flavour nilizonazo hata 10 hazifiki
 
Dah!!
Nimekumbuka miaka ile disco vumbi Kwenye godauni la kijiji!!
Ilikuwa balaa
Hahahahahahahaha ilikua balaaa hasa katika miezi ile ya mavuno kuanzia mwezi sitaa mpaka wa 10 mzee ilikua baraaaaaaa sio balaa tena
 
Kifurushi Kimekata nitaendelea nikipata kifurushi wakuu tukumbushie enzi za dada zetu wakiolewa basi ujue siku hiyo disco mpk betri la gari liishe au betri za National. et siku hizi umeme
ilikuwa kama wimbo unapendwa basi biki mkononi ukiisha mnasimama mnasubiri dj aurudishe nyuma kwa biki
hahahahahahahaaaaaa! Longi sana
 
Attachments

  • Pamela Nkutha 02 - YouTube.mp3
    6.1 MB · Views: 181
  • Pamela Nkutha (Muraziwa) - YouTube.mp3
    6 MB · Views: 169
Hahahahahahahaha ilikua balaaa hasa katika miezi ile ya mavuno kuanzia mwezi sitaa mpaka wa 10 mzee ilikua baraaaaaaa sio balaa tena
Kipindi hicho ndio kuna sherehe nyingi sana za harusi
msshindi wa kucheza anapewa superdip akakoroge iwe soda au anapewa banzoka au peremende
 
Kifurushi Kimekata nitaendelea nikipata kifurushi wakuu tukumbushie enzi za dada zetu wakiolewa basi ujue siku hiyo disco mpk betri la gari liishe au betri za National. et siku hizi umeme
ilikuwa kama wimbo unapendwa basi biki mkononi ukiisha mnasimama mnasubiri dj aurudishe nyuma kwa biki
hahahahahahahaaaaaa! Longi sana
asanteeeeeeee daaaah!
 
Duu kitambo sn,Mkuu umenikumbusha mbali sn,imebidi niingie YouTube nimezisikiliza sn muda huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom