Emmanuel Mbasha amtakia heri ya kuzaliwa mtalaka wake, Flora (Mbasha) Kusekwa

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,675
Kwenye ukurasa wake wa Fb, Emmanuel Mbasha amemtakia heri mkewe wa zamani Flora, kwa kuandika "Happy Birthday Mrs Daud Kusekwa"

Watu wa karibu wa Emmanuel Mbasha wanasema amekuwa na msongo wa mawazo kwa muda mrefu mara baada ya kutalikiana na mkewe. Hali hii imemfanya kuwa anajitahidi kupost hapa na pale matukio anayofanya yenye unasaba na starehe(kula bata) ili kuonyesha kuwa yupo "Ok"

Ila ukweli ni kuwa anateseka,na hasa ukizingatia alijijengea mazingira ya "umariooo",hali inayomfanya kuhangaika huku na kule

image.jpeg
 
Jamaa ameshindwa kumove on kabisa, anaazima magari ya watu anapigia picha aonekane kafanikiwa bila frola. Mapenzi kwa kweli ni kitu cha kipekee sana yana nguvu omba Mungu usikutane na situation anayopitia Mbasha kwa sasa unaweza muona sio mwanaume wa kweli ila kwa anayopitia ni kumhurumia tu sio kumcheka.
 
Huyu kijana bado hajaweza kuendelea na maisha yake,hii ndio tatizo la kuzoea kulelewa na mwanamke na ukawa huna kazi ya maana.
Maana hata kuimba huwa sioni kama anajua kuimba,nadhani alikuwa anaimba kwa "mgongo" wa mkewe.
Ukiangalia mambo anayo-post facebook,utagundua bado haamini kama kaachwa.

Tumuombee arudi sawa,vijana wa kutegemea wanawake huwa wanateseka sana wakiachwa..
 
Back
Top Bottom