Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Star wa pop Nigeria, Wizkid alizungumza kuwa hana hofu kwa sababu anajua alichokifanya na kazi yake kupenda na watu....Gtv in Nigeria
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mapenzi kati ya mastaa na mastaa hua inakua na mwisho mbaya hasa kwa wabongo. wengi wanaishi kikiki na kupendana kikiki. Wanasahau mapenzi ni baina ya watu wawili na kutunziana siri. Tazama...
2 Reactions
54 Replies
8K Views
Jamani habari ya kwenu natumai ni wazima, dah nimekuwa nikisikiliza nyimbo za huyu dada Saida Karoli nikashikwa na hamu ya kujua alipo na je ameacha mziki? naona kama bado taifa tunahitaji wasanii...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Steve kakanusha kuhusika na uigizaji wa sauti za mtongozo zilizovuma baina ya watu wanaodaiwa kuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mrembo Wema Sepetu wa Bongo Movie.. “Kwanza mimi toka...
11 Reactions
46 Replies
6K Views
Kweli maisha ni kama kamari toka Zali la mentali hadi kuwa Mbunge wa CHADEMA Bravo to you: PROFESSA JAY
4 Reactions
50 Replies
8K Views
Yaani taarab qwishney toka mfalme aache habari ni kuwa sasa hivi hakuna jipya tena Mashabiki walivunjika moyo mno kiasi kwamba wengi wakaanza kupoteza mood kbs Huyu isha mashauzi naye hana jipya...
0 Reactions
53 Replies
8K Views
Jumatatu, 5 Juni 2017 MWILI WA TONGOLANGA WASAFIRISHWA KUELEKEA TANDAHIMBA, BALOZI WA MSUMBIJI AJITOKEZA KUMUAGA Halila Tongolanga amefariki jana usiku katika hospitali ya Muhimbili. Alikuwa...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Hajawahi kukosea huyu jamaa kwny viitikio yaan bora hata aacha kutoa nyimbo nzima aimbage tu viitikio...ckiliza wimbo mpya alioshirikiswa na Nikki wa pili unaitwa quality time
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Rais wa lebo ya WCB, Diamond Platnumz ametaja sifa za kujiunga na lebo hiyo. Msanii huyo amesema ni lazima uwe umetoka katika maisha ya chini kabisa, yaani familia isiyojimudu kiuchumi. Diamond...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kila kukicha kuna tetesi za wadada wa mujini mfano irene(Queen video wimbo wa kwetu),hamisa mabeto(queen video wimbo wa salome),penny(ex girlfriend wa dai) kubeba ujauzito wa msanii diamond ila...
6 Reactions
25 Replies
5K Views
Huyu jamaa anajiita DR sasa sijajua udokta wake na kama wa MPONJOLI au RWAKATARE wajomba tunaomba wasifu wake Kuna article yake mooja alindika kule Michuzi imejaa madudu kibao na nadhani kuna...
0 Reactions
205 Replies
39K Views
Kama ukikuwa hujui sasa nakujuza rasmi.Ni kuwa mgombea urais mbabe wa marekani Donald Trump aliwahi kuigiza kwenye filamu ya vichekesho ya Home Alone 2.
0 Reactions
38 Replies
11K Views
Ukisema uandishi wa mashairi adhimu katika HIP HOP Fid q ni Baba lao na ukizungumzia msanii wa HIP HOP mwnye flow nzuri kuliko yeyote ni CHID BENZI Nipingwe kwa hoja kama kuna ulazima
1 Reactions
20 Replies
4K Views
mtu kuwa tajiri Lilionekana ni hatari kwa taifa, tena mali zake Alitakiwa azimiimiliki kwa kificho, vinginevyo angeitwa mhujumu uchumi. Lakini kwa sasa mambo yamebadilika, taratibu sera za...
1 Reactions
31 Replies
9K Views
Secret reversed message in her last song
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za jioni wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Msanii Ben Pol ametoa ushauri wa bure kwa akina dada wote wanaopenda kufwatilia simu za mabwana zao pindi wanapozisahau au...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kamati ya watu 4 yachaguliwa kusimamia mali za marehemu Ivan Ssemwanga mpaka watoto wake watakapofikisha miaka 18. Zari Hassan ndiye msimamizi mkuu ambaye ametakiwa kusimamia shule za Ivan...
16 Reactions
116 Replies
17K Views
Huko nyuma ulikuwa ukijua tu unasafiri na ATCL ( zamani ATC ) kwenda Mikoani au nchi za jirani halafu katika Ndege unayoipanda ama yupo Captain Mapunda au Captain Mazula au wapo Wote wawili...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Mkubwa Fella amedai Juma Nature anashindwa kufanya vizuri kwenye muziki kutokana na kukosa huduma yake. Meneja huyo amedai yeye alikuwa anajua...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Rapper Kanye West has arrived at Trump Tower in New York to meet the President-elect. Although the pair were happy to pose for photographs, they were less keen to answer reporters' questions on...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…