Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Katika Taifa Masikini Kama Tanzania Mkuu wa Wilaya Kama Kasesela anafurahi Kujipiga Picha na Kupost Kuwa yeye Ni Season Ticket Holder wa Golden State Warriors Kila Mtu anajua Gharama za Kuangalia...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Huyu ndiye Saida Kalori ninayemjua msikilize then nipe komment chini...
10 Reactions
42 Replies
31K Views
Hii ndio hali iliyopo instagram,!! diamond anasema ndio maaana ana hit and run!! kwamba akina dada hawathaminiki! Inaonekana zari amecheat na uyo mjamaaa aliyebambia msambwanda wake kwenye...
4 Reactions
253 Replies
65K Views
Haka ka ebitoke sikapendi siku hizi kwelli yani Sanaa imemshinda kazi kutukana wanawake wenzake na kujiona yeye ndio yeye Huyu kila kukicha anawatukana wanawake wenzake kisa tu hawako bikra...
2 Reactions
44 Replies
10K Views
Nashangaa kuona wasanii wote wanaimba key moja mwisho wa siku haitambuliki huyu ni nani sababu wanaigana kama wataendelea hivi watachokwa hakuna anayetaka kubadika. Baada yakuja huyo Lava Lava...
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Nchi yetu imejaliwa vipaji vingi mno sema vinapotea kutokana na kutokua na mikakati iliyothabiti, tizama mwenyewe af angalia mazingira ya hichi kipaji.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mmoja wa wanaounda kundi la shilawadu Kwisa,ameulizwa inakuwaje wao ni wanaume halafu wafanya umbea? Jamaa alichojibu ni kuwa wangefanya wanawake kipindi kisingenoga, kingeonekana cha kawaida ila...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Kabla zari hajawa na mondi wema alikuwa na followers wengi mara kumi zaidi ya zari. Baada ya zari kuwa na mondi zari na wema walikuwa na follower wakikaribiana huku wema akiongoza. But now kwa mda...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Rapper Wiz Khalifa amegeuka daktari kwa kumshauri Kanye West akitaka apone kuna dawa rahisi anatakiwa aitumie. Akiongea na mtandao wa TMZ Jumatatu hii, hitmaker huyo wa See You Again amemwambia...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Msanii wa bongomovie Irene Uwoya amedai wasanii wa Bongo movie hawana hela na vitu na maisha wanayoonekana wanayo ni vya kuazima na sio vya kwao Amedai inabidi waazima kwa kuwa ni maarufu na...
3 Reactions
36 Replies
6K Views
Welcome to Bongo Bahati Mbaya where 1. You can win couple with best chemistry award even 3 times with 3 different chics at different times 2. Millionaires come from Arusha..You just need a car and...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Msanii Gigy money balaa lake la kukata mauno EATV ni hatari sana, queen mwenye confidence ya ajabu anasifika zaidi kwa kuvaa mavazi yenye utata na muonekano wa ukweli haya kwa wasanii wenzake. Big...
0 Reactions
38 Replies
12K Views
Amesema vyombo vya band yake vya awali alivinunua kwa shilingi milioni 18 lakini kwa sasa hana uwezo. Hivyo anamuomba mtu yeyote mwenye mapenzi mema ikiwemo serikali waweze kumsaidia. Amesema...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
leo kulikuwa na fainali ya sport pesa cup na mechi ya utangulizi ilikuwa kati ya bongo fleva na bongo movie Duh mbona wabongo hata hawaiongelei kabisa? nini shida ya kuwachoka hawa jamaa???maana...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Ameshasemwa sana kwa ubaya ameshaandikwa sana kwa ubaya ameshakuwa na kashfa nyingi...ni wakati sasa wa kumwangalia kwa jicho la tatu. Hatuwezi kumweka kwenye kundi la malaika wa kifo kwakuwa...
18 Reactions
200 Replies
41K Views
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amedai anaomba Mungu kila kukicha mpenzi mpya mzungu ajifungue mtoto mwenye rangi nyeupe kama mama yake. Muimbaji huyo hivi karibuni aliweka wazi ishu za...
3 Reactions
102 Replies
30K Views
Msanii kutoka 'Green City' akiwakilisha kundi la The Amaizing, Izzo Bizness amedai hawezi kulala njaa kusubiri simu za promota kwa ajili ya show kwani kipaji anacho ndio maana anajiongeza zaidi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mama Diamond amemmind Soudy Brown baada ya kumuuliza habari za diamond kumpa mimba Hamisa Mobeto na kubaki kujiumauma
3 Reactions
50 Replies
9K Views
Tarehe SIKU kama KESHO 12th june miaka takribani hamsini na minne iliyopita dunia ilipata bahati ya kupokea mwili na roho hai ya mtumishi wa mungu KULE nchi moja ya Afrika magharibi ENDELEA...
5 Reactions
7 Replies
4K Views
Upigaji kura ushaanza rasmi Tuzo za BETAWARDA-2017. Mpigie kura Rayvanny kama "International Viewer's Choice Awards' 2017. JINSI YA KUPIGA KURA KWA MSHIRIKI. Kazi ni moja tu unapost picha ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom