Wolper na msongo wa mawazo hii imekaaje

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,404
2,000
Mapenzi kati ya mastaa na mastaa hua inakua na mwisho mbaya hasa kwa wabongo.
wengi wanaishi kikiki na kupendana kikiki. Wanasahau mapenzi ni baina ya watu wawili na kutunziana siri. Tazama yalomkuta Wolper
 

mmbangaya

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
1,009
2,000
Kuwa celebrity bongo ni balaa., hata ukijamba wataandika mitandaoni kijambo kilikuwa kinatoa harufu inayofanana na nini. No big news for celebrities in bongo land than love affairs
 

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,404
2,000
Kama ni harufu mbaya kuna shida, Natural smell sio mbaya
Kuna mdada alikua yeye ana harufu flani ivi kwenye kwappa yani hata asugui ilo kwapa na muarobaini bado itatoka. Natural ilikua si pleasant. Saa zote alikua anajijaza pafyuum tuu
 

Dundo_Boy

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,467
2,000
MTU mzima kulala na vijana wadogo unategemea nini???.....laana inatembea, yaani mda wote huo wamevuana michupi alafu anasema hamuongelei....huhuhuhuhu!... Acha vijana wawashikishe adabu maana mnapenda vya bureer!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom