Tuzo zipi kwanza?
Kama ni BET Wiz hazimsumbui sana tho ni tuzo kubwa
kwani ni mda sasa amekuwa haendi kwenye hizo tuzo hata hakiwa nominated
Niliwahi kumsikiliza sikumoja aliulizwa kwanini hahudhurii Sababu yake alisema hadi waandaji watakapoacha kuwabagua wNamziki wa Africakwa kuwapa tuzo asubuhi na hao wa nje ambao wanapewa tuzo usiku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.