agprogrammer
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 468
- 362
Jamani habari ya kwenu natumai ni wazima, dah nimekuwa nikisikiliza nyimbo za huyu dada Saida Karoli nikashikwa na hamu ya kujua alipo na je ameacha mziki? naona kama bado taifa tunahitaji wasanii kama yeye. MUNGU ambariki popote alipo. Tujikumbushe na moja ya tungo zake.