Video: Kuna kuzaa mtoto na kuna kuzaa mtoto wa kizungu – Harmonize

GTA

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
878
649
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amedai anaomba Mungu kila kukicha mpenzi mpya mzungu ajifungue mtoto mwenye rangi nyeupe kama mama yake.
Harmonize.jpg

Muimbaji huyo hivi karibuni aliweka wazi ishu za ujauzito wa mpenzi wake huyo ambaye ni raia wa Marekani.

Akiongea na 255 ya XXL ya Clouds FM Jumatano hii, Harmo amedai kuna asilimia kubwa mpenzi wake huyo kujifungua mtoto wa kizungu na sio mwenye rangi kama yake. Msikilize Hapo chini
 
Hahahaha.
Hapo mtoto mweupe pie maana rangi nyeupe ya kizungu sio ya mchezo mchezo.
Ila kwenye nywele hapo lazima iwe collable
 
Saa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anakashifu na kuwakejeli wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!

Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.
 
Saa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anawakashifu wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!

Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.
DAH! Jamaa ameonge pumba sana
 
You Made my day asee,umenifurahisha sana mkuu.
 
Back
Top Bottom