Harmonize & Mavoko - show me....!!! walimaanisha nini kutaja panya road?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
12,888
2,000
Habari wakuu,
Tangu huu wimbo umetoka umekua ukipata airtime ya kuvente na ni ngoma ambayo ni nzuri kwa kuisikiliza. What caught my attention ni pale mwishoni mavoko anapoimba 'wanangu wa panya road...'

Nafikiri mavoko needs to make an explanation alimaanisha nini pale, je ni hawahawa panya road ambao wameshadhuru na kupora mali nyingi za raia wasio na hatia au ni panya road gani anawazngumzia.

And if ni wengine, je hao aliowarusha to which extent wako affiliated na wale vibaka? Maana ni uncommon kujiita jina la kihalifu hivi hivi tu.

Eti mtu kwa mfano unajiita jambazi lakini wewe si jambazi kweli.... ni vitu vya kujiuliza kidogo sababu even little details could lead to something bigger than expected...
 
Annael

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,828
2,000
Habari wakuu,
Tangu huu wimbo umetoka umekua ukipata airtime ya kuvente na ni ngoma ambayo ni nzuri kwa kuisikiliza. What caught my attention ni pale mwishoni mavoko anapoimba 'wanangu wa panya road...'
Nafikiri mavoko needs to make an explanation alimaanisha nini pale, je ni hawahawa panya road ambao wesha dhuru na kupora mali nyingi za raia wasio na hatia au ni panya road gani anawazngumzia. And if ni wengine, je hao aliowarusha to which extent wako affiliated na wale vibaka? Maana ni uncommon kujiita jina la kihalifu hivi hivi tu. Eti mtu kwa mfano unajiita jambazi lakini wewe si jambazi kweli.... ni vitu vya kujiuliza kidogo sababu even little details could lead to something bigger than expected...
Panya road maana yake nini? Mimi nilikuwa najua vile vidaladala vidogo vilivyopigwa marufuku kuingia post.
Kwamfano hiki hapa

daudthefarmer

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
5,466

Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,097
2,000
Panya road maana yake nini? Mimi nilikuwa najua vile vidaladala vidogo vilivyopigwa marufuku kuingia post.
Kwamfano hiki hapa

Ni vitu Fulani kama mkate ila vyenyewe vidogo! Vitamu ukila vya baridi ila uweke chumvi kidogo! Vitafute mkuu kwenye bakery yoyote
 
mzaramo

JF-Expert Member
Sep 4, 2006
6,346
2,000
Sio kila kitu kinakuwa na maana kwenye wimbo sometime wananongesha tu na wewe msikilizaji unajiongeza ila ukiona uelewi basi ujue huo wimbo Sio wa rika lako
 
ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
360
500
Habari wakuu,
Tangu huu wimbo umetoka umekua ukipata airtime ya kuvente na ni ngoma ambayo ni nzuri kwa kuisikiliza. What caught my attention ni pale mwishoni mavoko anapoimba 'wanangu wa panya road...'

Nafikiri mavoko needs to make an explanation alimaanisha nini pale, je ni hawahawa panya road ambao wameshadhuru na kupora mali nyingi za raia wasio na hatia au ni panya road gani anawazngumzia.

And if ni wengine, je hao aliowarusha to which extent wako affiliated na wale vibaka? Maana ni uncommon kujiita jina la kihalifu hivi hivi tu.

Eti mtu kwa mfano unajiita jambazi lakini wewe si jambazi kweli.... ni vitu vya kujiuliza kidogo sababu even little details could lead to something bigger than expected...
mavoko mtoto wa kigogo so ni wanae kweli weng wa hao wanaoitwa panyaroad,,cauz wengi wa panyaroad wanaishi huko
 
vegas

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,045
2,000
Mbona Diamond kwny lile tangazo la count down ya magic FM na gomba gomba anajiita Toto la kimanyema, mwnaume kujiita "TOTO LA......" It Sound weird
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
12,984
2,000
Vingereza vya kuchapia kama vya hamorapa, yaani no class no english
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom