Usain bolt kashindikana..ang’aa tena huko Shang'ai

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
541
Huyu jamaa naona keshashindikana....hizi mbio nilijua atachemka alianza vibaya sana lakini hapo kati kawakata wenzake kama walikua wamesimama. HATARI SANA.
 
Garama zilizoipeleka TAIFA STARS kambini misri ingetumika kumhudumia yule kijana aliyeshika namba tano mbio za marathon majuzi nadhani tungepata gold medal
 
Kwa kifupi Amebarikiwa Mbio, ni kama wengine wanavyo barikiwa Makalio makubwa. Ila yeye ametumia kipaji chake vizuri
 
Back
Top Bottom