Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 278,618 1,128,559 Jun 10, 2017 #1 Mwanamuziki tecno toka nigeria aacha gumzo mitandaoni baada ya kuwasilisha ujumbe wa kuupromoti wimbo wake mpya kwa lugha ya kiswahili
Mwanamuziki tecno toka nigeria aacha gumzo mitandaoni baada ya kuwasilisha ujumbe wa kuupromoti wimbo wake mpya kwa lugha ya kiswahili
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,589 Jun 10, 2017 #2 Yuko vizuri hahaha japo kuna namna imefanyika
shatisuruali JF-Expert Member Jul 28, 2016 905 2,780 Jun 10, 2017 #3 Hivi vitu wabongofleva si ndo wanaitaga kiki?
Africa Tanzania JF-Expert Member Jun 13, 2015 1,504 2,271 Jun 10, 2017 #4 Duh! Sidhani..... Ila nae plutnumz huwa anaandika kwa kiingereza japo Sina uhakika kama nao Nigerian wanamshangaa!!!
Duh! Sidhani..... Ila nae plutnumz huwa anaandika kwa kiingereza japo Sina uhakika kama nao Nigerian wanamshangaa!!!
Mchimba Chumvi JF-Expert Member May 19, 2016 2,179 5,306 Jun 10, 2017 #7 Kaandikiwa tehtehte haijawah mwacha mtu salama
msafwa93 JF-Expert Member Jul 2, 2011 4,765 5,900 Jun 10, 2017 #10 Maneno Ya Diamond yanafahamika kabisaaa
Perfectz JF-Expert Member May 17, 2017 9,009 28,109 Jun 10, 2017 #11 KAMA KWELI NI PAGE YAKE HALISI,KUNA MKONO WASWAHILI HAPO
Handsome man JF-Expert Member May 6, 2017 880 956 Jun 10, 2017 #14 Ni bashite wa kiswahili tusimulaumu sana
Dejane JF-Expert Member Jan 1, 2014 50,269 70,659 Jun 10, 2017 #16 Si katumiwa tu hayo maneno akaya copy na ku paste tu
Okol36 JF-Expert Member Jan 10, 2015 1,524 716 Jun 11, 2017 #20 iddy eba said: 99.9% kaandikiwa na chibu Click to expand... Muandiko wa chibu haujifichi