Kwa story za kunyapia nyapia zinadai kuwa harmonize na wolper gambe washabwagana na kila mtu kachukua 50 zake na kwa ubuyu unaosambaa mjini unadai kuwa Dogo kapata mtt mkaliii wa kitaliano anajulikana kwa jina la sarah na tyari yupo mimba....so mda cyo mrefu harmonize ataitwa baba......demu nasikia anamkwanja wa kutosha ndo anaempa jeuri harmonize apa mjini ndo maana kila siku anabadili dinga tu mara Prado mara Audi.
Hongera sana mmakonde kama izo story ni za kweli.....endelea kuliwakilisha taifa kwa huyo muitaliano.
===============================================
Nucky Thompson post
Ni kutoka kwa Shilawadu.. wawili hawa wanadaiwa kuachana, sijui inatokana na bidada huyu kuchafuliwa na hyule mwingine anayeishi mamtoni ama vipi, maana amekuwa akipost mambo ya kumdhalilisha dada huyu huko Insta, na watu wengi wanavyomuamini Harmonize akaona isiwe shida...