JUKWAANI: Hakuna wakumfananisha na DIAMOND PLATNUMZ

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
541
Kwa muda mrefu kumekua na mijadala ikiendelea mitaaani, watu wengi wakilinganisha magwiji wawili wa musik wa bongo flava, kila mtu amekua na lake la kusema. ukweli ni kwamba nimefanya tafiti nyingi sana kwao na nilichogundua DIAMOND PLATNUMZ sio wa kulinganishwa na ALLY KIBA hususani kwenye PERFOMANCE JUKWANI, diamond ni biashara iliyojitosheleza yani kama ni duka la mahitaji ya nyumbani kibongo bongo basi ni GAME/SHOPRITE, yani hakuna kinachokosekana kwa huyu jamaa, kama kucheza yupo, uswahili upo, kuchombweza yupo, kunyuka pamba yupo, kujiongeza lugha yupo, kujiweka kibiashara ndo kabisa usiseme, kuimbisha hadhira yupo yani ni total weapon, ally kiba mbali na kujua kuimba sioni akimfikia kwenye vitu vingine DIAMOND.

tizama tamasha alilopiga juzi kati kenya hapa, yani ni kama vile ile fiesta ya clouds af watu wote wajae kisa msanii mmoja. BIG UP SANA MWANA TANDALE, DOGO UNATUWAKILISHA VIZURI AM PROUD OF YOU.
 
Umesema hakuna wa kumfananisha na Diamond alafu ulivyo zwazwa umemtaja Ali Kiba tayari kwa kifupi umewafananisha tayari.
 
Back
Top Bottom