Zari The Bosslady kahamia kwa Diamond na watoto wake wote watano?

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,285
2,000
Baada ya msiba zari ameonekana akipost yupo kwenye mjengo wao wa SA na familia yake yote, Mungu awape nguvu machungu ya msiba yapite aanze kupambana kuijenga familia yake.

diamond safi sana kwa kuonyesha ukomavu wa kuruhusu mkeo kukaaa na watoto wake wote.

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,921

Hiyo Kampuni ya Maziwa ya Mtindi ya Zari kama inavyoonekana pichani hapo ni yake au ameyabetua tu kutangaza Soko?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,921
2,000
Wewe bwege haya maneno huwa unayatoa wapi?.unaonekana umeishi uswahilini sana.
Nimezaliwa Tandale, nimekulia Tandika na sasa naishi Mwananyamala Mkuu. Mwenzangu Wewe wa wapi Obey au Masaki au Mikocheni au Upanga au Kijitonyama au Makumbusho au Kawe Beach au Mbezi Beach? Nina hamu sana nami siku moja nije nikae tu huko Ushuani Kwako ili nitoe huu Ushamba wangu wa Kubobea / Kutukuka kuishi huku Uswahilini / Uswazinyo.
 
kukudume2013

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
1,484
1,500
Sawa kwani kuna shida gani Mwenyezi Mungu alishapanga iwe hivyo na alishapanga kuwa Daimond ipo siku atawalea hao watoto na ndio Mwenyezi Mungu alimkutanisha na Zari ili mpango wa Allah ukamilike hapo.unajua sisi binaadamu tumewekewa pazia hatuyajui ya mbeleni kwetu .laiti tungeyajua wala hakuna mtu angekubaliana na Mipango ya Mungu acheni Mungu aitwe Mungu hizo porojo tu.da watu bana .
 
Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,696
2,000
Khaa! Kulea watoto wa kambo ni kazi sana. Mie pamoja na ulokole wangu, siwezi kulea mtoto wa baba mwingine aliyezaa na mke wangu. Nina wivu hatari. Ninaweza hata kukanyonga katoto ka kambo nipate kesi.
Kama Diamond kaweza hili, ninampa hongera sana. Huu ni moyo wa pekee...
 
Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,187
2,000
Khaa! Kulea watoto wa kambo ni kazi sana. Mie pamoja na ulokole wangu, siwezi kulea mtoto wa baba mwingine aliyezaa na mke wangu. Nina wivu hatari. Ninaweza hata kukanyonga katoto ka kambo nipate kesi.
Kama Diamond kaweza hili, ninampa hongera sana. Huu ni moyo wa pekee...
Ndio jinsi ulivyofundishwa na mchungaji wako?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom