Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kati ya mambo ya kijinga kabisa ambayo Diamond ameyafanya ktk maisha yake ni kumdharau baba yake mzazi eti kisa alimtelekeza kumlea na mama tu ndo akamlea,ni kweli baba yake alikosea sana,lakini...
9 Reactions
126 Replies
22K Views
Jina lake halisi anaitwa Oladee kijana mzaliwa wa Nigeria. kwa sasa ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Ilorin kinachopatkana eneo la Kwara nchini Nigeria. Mwaka 2009 Oladee alipata mkasa mkubwa...
6 Reactions
70 Replies
20K Views
Kwa mujibu wa YouTube ambayo ndio platform fair kwa sasa Tanzania kupima nguvu ya msanii. Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa. Amefanikiwa kukamata chati za Youtube kwa akaunti yake mwenyewe...
1 Reactions
66 Replies
50K Views
Huku tukiendelea kuchukua tahadhari zidi ya COVID-19. Tutafteni sana pesa... Nimepita youtube leo nikabahatika kuiona video ya msanii wa WCB Rayvanny. Nikakumbuka huwa tunasemaga ukitoboa then...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Kiukweli binafsi namkubali sana huyu GENTLEMAN katika kufikisha sanaa yenye ujumbe kwa hadhira katika Joti TV ukimuangalia jamaa anajua... comedy zake zinachekesha sana. Je ni uhusika gani kati ya...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Binafsi nimekua mfuasi mkubwa wa mwanaharakati na mtumishi na mmiliki wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Bembeleza kutoka Arusha bi. Irene Mbowe.Jana kwa mshtuko mkubwa nimepokea habari za...
13 Reactions
151 Replies
37K Views
Nimeona picha huko Instagram Marioo akiwa na Diamond Platnumz huko Nigeria. Wengi wetu tunaamini Platnumz anamsaidia Marioo kumpeleka international ila mi naona kama anamharibia. Kitachotokea ni...
2 Reactions
74 Replies
15K Views
Mchambaji maarufu kunako Instagram Juma Harji alimaarufu kama Juma Lokole amesema ana PhD ya ualimu kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Juma Lokole ameyasema hayo wakati akihojjwa na...
1 Reactions
58 Replies
18K Views
Habarini wana JF Leo asubuhi niko dukani kwa Mangi nanunua kamkate tukafungue kinywa. Basi pembeni hapo dukani kuna hawa wadada na wamama wauza vitafunio, wakawa wanaongea kitu na kuonekana kila...
5 Reactions
83 Replies
14K Views
Nasikiliza hii nyimbo mpya ya Simi inaitwa Duduke Daaah huyu Simi ni Underrated... Hawa kina Yemi Alade,Tiwa Savage sijui wanampitaje kimafanikio.. Lakini mziki wa Simi ni Quality...
20 Reactions
108 Replies
14K Views
Baada ya tamasha la Castle Lite unlocks kutekwa na Cloudsfm huku kituo hicho kongwe cha burudani kikimteka msanii aliyekuwa Tamaduni music Wakazi vita kali imeibuka kati ya msanii huyo na rafiki...
7 Reactions
73 Replies
14K Views
Nimeshangaa jamaa anaflow kali sanaa kwa wale wapenzi wa freestyle msikilizeni huyu jamaa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Msanii kunako kiwanda cha muziki wa bongo fleva Wakazi amesema anamiliki shule ya nursery na primary maeneo ya stakishari ukonga. Wakazi ameyasema hayo akihojiwa na Dozen Selection ambapo...
1 Reactions
45 Replies
12K Views
Swala la Diamond kuvaa saa fake limekuwa kuuubwa ila bado kitu saa aliyovaa ni very expensive inakadiriwa kuwa na gharama ya $130. Kupitia ukurasa wake wa Instergram Diamond alipost picha akiwa...
7 Reactions
63 Replies
9K Views
Habarini wakuu, Nimekuwa navutiwa na mwanadada huyu mtangazaji wa ITV Farhia Midle katika utangazaji wake lakini kwakweli amekuwa na staili yake moja ya kubana nywele kwa nyuma jamani mpaka...
6 Reactions
85 Replies
21K Views
Jana nilibahatika kusikiliza interview ya Darassa aliyofanyiwa na Salama Jabir. Kwanza nikiri Salama ni bingwa wa kufanya interview maana interview zake utasikia vitu ambavyo hukuwahi kusikia...
22 Reactions
40 Replies
49K Views
Kiukweli katika siku za hivi karibuni Juma Lokole amekuwa akimpaisha sana Diamond platnumz kupitia akaunti yake ya Instagram kwa kumpost kila mara. Ni vyema Diamond platnumz akamfikiria...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Huyu mzee ameamriwa kuwa kituko sasa kwenye jamii. Hizi video zake zinazosambaa anatamka maneno ambayo hayasikiki akiwa mbele ya mkewe K-Lyn ni dhahiri kwamba analazimishwa tu kufanya mambo...
23 Reactions
362 Replies
69K Views
Wakuu achana na hela. Jamaa yangu mmoja anashtua misuli kwa mmoja ya wale wasanii wa kike wa WCB kwa hiyo huwa ana access na baadhi ya vitu vya WCB ambavyo havijawa tayari kwa matumizi ya umma...
23 Reactions
63 Replies
10K Views
Back
Top Bottom