Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wakati tukisubiri kwa hamu mpambano wa kukata na shoka kati ya Deontay Wilder na Tyson Furry utakaofanyika February 22 katika ukumbi Wa MGM Grand Arena, tutazame rekodi zilizowekwa na mabondia...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Did you know? South African President, Cyril Ramaphosa became interested in ankole cattle after visiting Uganda in 2004. Top Billing also confirmed it He is the first person to bring them to...
3 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari za saa hizi wakuu ? Natumai mko fresh ki afya hasa ukizingalita hili kiki la dunia linavyo tupandisha pressure. Acha nidondokee moja kwa moja, wakuu hivi hawa vijana wali fail wapi? Maana...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Hii ina include waigizaji filamu wakubwa maarufu na wanamuziki wenye utajiri na umaarufu mkubwa Nasikia Wanapewa masharti magumu ya kichawi, ili waweze kupata na ku-maintain utajiri na umaarufu...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Ameandika Janet Otieno muimbaji nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya: Wapendwa wanaume, Muda mwingine Mimi hujiuliza mnatoa wapi hizi nguvu. Kwa miezi unakaa bila hata kujinunulia mwenyewe nguo...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Natumaini kwa namna moja au nyingine utakuwa umehudhuria sherehe/hafla katika jiji la Dar es Salaam, je ni ma-MC gani uchwara uliowahi kukutana nao shereheni na wakafanya sherehe kuwa mbaya...
3 Reactions
37 Replies
12K Views
JUN042013 Hivi ndivyo jinsi Albert Mangwair alivyopokelewa kwenye uwanja wa Dar-Es-Salaam International Airport. T.I.D ni mmoja wa wasanii aliyebeba jeneza la Albert Mangwair pale...
3 Reactions
60 Replies
58K Views
Paul Matthysse ni mtayarishaji wa muziki na pia mmiliki wa Studio ya Bongo Records iliyopo jijini Dar es Salaam, Tanzania. P Funk a.k.a. Majani, ambaye ni nusu Mtanzania na nusu Mdachi, kama miaka...
42 Reactions
308 Replies
68K Views
Star Wars actor John Boyega slams racist white people and police brutality in America
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wa Wasanii akishirikiana na baadhi ya wasanii ndio waliomchongea Idris Sultani kwa madai kuwa anajifanya mjanja kila mara anaandaa vichekesho vya kuwasema viongozi , mpango mzima wa...
12 Reactions
52 Replies
6K Views
Je idris Sultan ni jambazi la kutumia silaha? Je ni gaidi? Ni alshababu au alkaida? Na je jambazi hana ndugu na jamaa? Hana ndugu wanaompenda na yeye anawapenda? Je gaidi wa alkaida hana ndugu na...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwanza kabisa nimpongeze Stamina kwa kupata deal la parimatch, jamaa Ni mbunifu Sana na anafanya kazi nzuri Sana nimefurahi Sana Jamaa kupata Hili deal maana jamaa alikuwa apati kabisa deal za...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Binafsi mimi sio shabiki wa muziki ila sijatokea kumuelewa huyu msanii Diamond Platnumz kabisa kuanzia staili ya uimbaji wake yaani naona kabisa jina ndio linambeba mda huu. Kiukweli ukimuweka...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Salaam sana Mhe. Rais, Mwanzoni haikuwa inapita muda mrefu kama sasa bila kupiga simu. - Siku hizi umekuwa kimya sana, hupigi simu mpaka hatuelewi.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Alisema anataka kufanana na kiongozi wa kimila wa Kimasai aitwaye 'Laigwanan' ambaye kwenye kiapo chake wakati wa kupewa wadhifa huo huapa kuwa "Nikikiuka niliyoapa kuyatenda Mungu nilaani...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Mwanadada Bianca Schoombee wa Afrika Kusini amejitoa katika kinyang’anyiro cha mashindano ya Miss South Africa kwa mwaka 2020. Taarifa hiyo imetolewa na wakala wake. Bianca alipata mapokezi...
11 Reactions
59 Replies
8K Views
Habari wakuu, Waswahili waliosema kufaaye kwa dhiki ndiye rafiki hakika waliona mbali na hawakukosea. Msanii Idris Sultan (comedian) kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa ya...
16 Reactions
117 Replies
10K Views
Kupata deals, ubalozi, au endorsement ya kutangaza bidhaa kutoka kwenye makampuni sio kitu kidogo na si wote wasanii/waigizaji/watu maarufu hupata Makampuni huangalia vitu vingi mpaka kujiaminisha...
2 Reactions
62 Replies
8K Views
Hakuna mwanamziki anaependaga kuwa kimya kama wengi tunavyodhani, iwapo msanii hana tatizo za vituo vya redia, n.k basi mara nyingi ukimwya husababishwa na ishu ya "UKATA WA PESA". Ali kiba ni...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Back
Top Bottom