Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

Khadija kimobitel na Bad Bakule mwaka 2018,walikuwa wanapiga show bar ya TOT Tabata,kila Jmosi kiingilio kinywaji.Weekend nikiwa naandalia EPL nasindikizwa na burudani kutoka kwao.

Ali Choki aka mzee wa Farasi enzi zake alikuwa hatari.Sijui super Nyamwela na super Danger wapo wapi nao.Nakumbuka kipindi cha nyuma nipo Manyanya kituoni,nilimuona Nyamwela anashuka kwenye gari na demu mkali kinyama.
 
yupo super kamanyola ya mwanza.......nafikiri wanaimba tu nyimbo zilizotamba zamani. nimemuona akikomalia kuiimba 'nawashukuru wazazi wangu' ya ddc mlimani park. najihisi kuhuzunika kiasi, lkn sijui ni kwanini!!
Huyu legendary nilikutana nae Mwanza aisee,kachoka yaani yupo tuu.... Mimi kama mmoja wa wahenga nasikitika sana kumuona vile aisee.... huwa anapiga show Villa park pale.
Ama kweli wakati ni ukuta
 
Bad Bakule ana kipaji sana.
Sijui nini kimetokea kwenye dansi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu legendary nilikutana nae Mwanza aisee,kachoka yaani yupo tuu.... Mimi kama mmoja wa wahenga nasikitika sana kumuona vile aisee.... huwa anapiga show Villa park pale.
Ama kweli wakati ni ukuta
Du kweli haya maisha Mzee wa Londoni sasa kwisha habari,kuna wakati alikuwa maulidi kitenge wa kukwaa mapipa kwenda kwa mama,nasikia akapigwa bani baada ya tuhuma za akina pompei kumkabili,alikuwa anaingiza watu Uingereza akijifanya ni wanamuziki wenzake
 
yupo super kamanyola ya mwanza.......nafikiri wanaimba tu nyimbo zilizotamba zamani. nimemuona akikomalia kuiimba 'nawashukuru wazazi wangu' ya ddc mlimani park. najihisi kuhuzunika kiasi, lkn sijui ni kwanini!!
Bora Choki Ukimuona Muumin utamuonea Huruma kweli maisha yanaenda kasi sana...Kuna siku nilimuona kwenye Bajaji za kuchangia jero jero anaenda kunegotiate na manager wa BAR apige show siku ya valentine na siku nyingine tukapanda naye Mwendokasi aiseee yaani mpole anatia huruma.
 
Kwa wakati wangu ile competition ya

Fm academia
Akudo impact
Twanga pepeta
Diamond musica
Mashujaa musica

Ilikua hatarii mnoo,, bongo fleva ilisahaulika kwa kipindi hizo band zinatoa vyuma kila kukicha,

Competition ya marapa kama msafiri diof,sauti ya radi,kitokololo,g7,canal top,ferguson n.k ilikua balaaaa

Daaaaa sijui tufanye je sisis wanywa lager hizi band zirudi kwenye ubora wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka siku moja pale Mango Garden vijana kabla haijavunjwa walikuwepo Malaika Band chini ya Mzee wa Masauti wanaburudisha alikuja Msafiri Diouf kupiga mzinga wa buku 2 huku akijitambulisha mie ndio Msafiri Diouf naomba niwezeshe buku 2 angalua niweze kula.
Dah haya maisha noma sana.
Tatizo wasanii wanafanya starehe sana bila kujua future yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom