Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nani anajua waigizaji wetu kwenye Bongo Movies wanalipwa kiasi gani kwa kuigiza kwenye Filamu na ni nani ndiye anayeongoza kwa kulipwa hela nyingi? Umaarufu wa watu wa Bonge Movies unatokana na...
1 Reactions
37 Replies
10K Views
Waandaaji wa Tuzo za Soundcity MVP wametangaza orodha ya wasanii wanaowania vipengele mbalimbali kwenye Tuzo hizo Watanzania @Diamondplatnumz @RayVanny @S2kizzy @OfficialNandy @Harmonize_tz na...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara tangia harmonize ameanza kufanya kazi zake mwenyewe. It seems wanaosimamia biashara zake either hawana kauli yeyote ile juu yake au hawajui...
10 Reactions
58 Replies
8K Views
Za chini chini ni Kwamba King kiba Kamuombe Msamaha Diva pale Mjengoni Clouds, Alipokwenda kufanya Intervier leo kwenye kipindi cha XXL
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Mwanadada aliyepata umaarufu kupitia kuwa video queen kwenye ngoma ya nuhu mziwanda ya " Jike shupa" nakupachikwa jina Hilo na mashabiki wa mziki amejikuta matatani baada ya kufumaniwa na Mume wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wana JF ni matumaini yangu mpo wazima kabisa katika kipindi hiki cha karantini tuendelee kuchukua tahadhari. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Kwenu madam Ritta na...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Naam, Pengine ulikuwa hujui sasa nakujuza. Bwana Lucian Gabriel Wiina Msamati ni muigizaji wa Kiingereza mwenye asili ya Tanzania kuigiza katika Tamthilia pendwa ya Game of Thrones. Katika Game...
9 Reactions
32 Replies
7K Views
Umetoa kod kwa wasiojiweza, saafi Umejenga msikiti, saafi Umeleta radio, studio, tv, saafi Umefanya matamasha ndani na nje ya nchi, safi Umetuletea maneno mapya kwenye lugha yetu pendwa mfano...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Habarini Wadau, Kiukweli namhusudu na kumpenda sana huyu dada, ambaye ni mtangazaji wa ITV. Anayeweza kunisaidia namba zake aidha ya simu au ya nyumba aniwekee hapa tafadhali. Najua hajaolewa...
6 Reactions
78 Replies
24K Views
Akifanya mahojiano yake na kituo kimoja cha online TV mbunge David Silinde ameweka umri wake hadharani. Silinde amenukuliwa akisema yeye bado Kijana na umri wake ni miaka 35. At the Hill i used...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Moja ya wadada wanaotisha kwa urembo hapa bongo kuanzia juu mpaka chini nilibahatika kuona picha yake moja akiwa natural kabisa inaonekana kama ana asili flani hivi siyo mbantu kwa asilimia 100...
0 Reactions
62 Replies
26K Views
Happynyerereday to everyone Kilimanjaro na Arusha ni mikoa ambayo imebarikiwa vipaji vya Kila aina na watu ambao Wana ushawishi mkubwa sana katika nchi hii ya Tanzania Mada hii itajikita zaidi...
8 Reactions
126 Replies
16K Views
Habari wakuu wa JF, Mwanamuziki Richard Wayne Penniman maarufu kama Little Richard aliyevuma kwa kibao chake matata Long Tall Sally kilichotumika kama Soundtrack kwenye movie ya "Anodi ya Jini" -...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Me I agree with her. Dada mkubwa amedadavua tofauti Kati ya MVUTO na KUVUTIA. Big Up Zamaradi
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Kama umezaliwa enzi za Kikwete inaweza kuwa ngumu kuwafahamu hawa watu!! 1. Mike Tee a.k.a mnyalu 2. Dudu baya a.k.a dudu zuri 3. Mr Nice a.k.a mzee wa TAKEU style 4. Witnes Masiga wa B lov M 5...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Sijui nani alofuata dini ya mwenziwe au kama wameoana bomani
26 Reactions
310 Replies
63K Views
Kwa Jinsi Ambavyo Nimeona Watu Wengi Mmeupokea Wimbo Wetu Wa KAKA_TUCHATI Na Kuvutiwa Nao, Nimewaza Jambo Fulani, Mimi Nina Followers Hapa Instagram Laki Sita 600K, Na Staminashorwebwenzi Ana...
10 Reactions
27 Replies
5K Views
Queen Darleen, Lavalava hawapati sapot ya fans wa WCB kama ilivyo kwa Rayvany. Mboso kidogo wanamsapoti japo si sana. Hii hali inaenda kumkuta msanii mpya Zuchu. Tukubaliane kua ile trending ya...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Mkurugenzi na CEO wa Wasafi media Diamond Platnumz amethibitisha leo kutakuwa na press pale Wasafi head quarter kwa kampeni inaitwa " Chuma kimeingia" .Tukio Hilo litarushwa kuanzia saa 5 Asubuhi...
9 Reactions
74 Replies
8K Views
African Beat ilianzishwa mwaka 1998, baada ya Mafumu Bilali Bombenga kujiengua kutoka katika bendi ya African Stars ambayo nayo ilianzishwa mnamo mwaka 1994 kwenye Hoteli ya Bahari Beach, jijini...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Back
Top Bottom