Kumbe nawewe ni mtu wa katuni bebe 🤩Ooh may he R.I.P, my favorite cartoon Tom and Jerry, pamoja na utu uzima huu, huwa naangalia sana tu.🙈
Buza international schoolHii ni kwa watoto wa mboga saba,sie wa Buza kwa Lulenge hao wakina Tom and Jeri tumewajulia kwenye stori tu shuleni.R.I.P
Napenda sana babe, yaani huwa nacheka sana mfano vituko vya Jerry anavyomfanyia mjomba jingalao Tom dah😀😀😀Kumbe nawewe ni mtu wa katuni bebe 🤩
Nazitafuta saana hizi series mkuuuNina series kibao katika PC yangu nikiboreka huwa naangalia ni nicheke