amount JF-Expert Member Dec 15, 2016 329 530 Jun 1, 2017 #4 Sisi tunajua wamesha zika hayo atajua yeye mwenyewe Ivan
kawombe JF-Expert Member Mar 26, 2015 13,574 14,883 Jun 1, 2017 #5 Hakuna jipya hapo wala hoja kabisa
sanchez255 Senior Member Jun 9, 2015 171 312 Jun 1, 2017 #8 Ivan kafa na kazikwa Baasi Inatosha.. Hao ni watafuta followers Huko Instagram
Maghayo JF-Expert Member Oct 5, 2014 14,828 32,731 Jun 1, 2017 #12 No signal said: Daah...ila mkuu unajitahidi kupambana na JF mzee....sijawahi kufungua uzi nikakukosa aiseee. Click to expand... huyu dogo hatari
No signal said: Daah...ila mkuu unajitahidi kupambana na JF mzee....sijawahi kufungua uzi nikakukosa aiseee. Click to expand... huyu dogo hatari
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 87,094 120,447 Jun 1, 2017 #16 Endeleeni na maisha yenu mkisema mumfatilie sjui Iván mtaambiwa ..oh mara hajafa,mara kaonekana wapi sjui blh blh kibao tu Ova
Endeleeni na maisha yenu mkisema mumfatilie sjui Iván mtaambiwa ..oh mara hajafa,mara kaonekana wapi sjui blh blh kibao tu Ova
shungurui JF-Expert Member Sep 1, 2008 3,765 5,157 Jun 1, 2017 #17 Kama alikuwa katika kile chama basi itakuwa kweli hajafa kiukweli kweli.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Sep 7, 2016 19,470 25,394 Jun 1, 2017 #18 Ndio maana wale watoto wakawa wakavu vile ,yaani hata sura za majonzi walikuwa hawana
Glenn JF-Expert Member May 23, 2015 67,950 162,144 Jun 1, 2017 #19 Acheni ujinga tujadili ya tz ya waganda wajadili wao
Usher-smith MD JF-Expert Member Jul 7, 2015 9,559 12,324 Jun 1, 2017 #20 Wale waliosema Kanumba hakufa wapo wapi leo