Mpoki ndio mchekeshaji bora wa stand up comedy kwa Tanzania

Huyu? 😳😳😳😳😳😳 Hajui kuchekesha. Anaongea pumba akidhani ndo vichekesho. Very childish. Kwako ndo mchekeshaji bora?😳😳😳😳😳😳 Au wewe ndo mpoki mwenyewe umekuja kujinadi. Mimi hata unipe na pesa siwezi kaa msikiliza mpoki.siwezi.anatia kinyaa.....
 
Huyu? Hajui kuchekesha. Anaongea pumba akidhani ndo vichekesho. Very childish. Kwako ndo mchekeshaji bora? Au wewe ndo mpoki mwenyewe umekuja kujinadi. Mimi hata unipe na pesa siwezi kaa msikiliza mpoki.siwezi.anatia kinyaa.....
Ndo mana nikasema kwa upwnde wangu.kila mtu anachekeshwa kwa namna yake.mimi binafsi vichekesho vya matendo sio issue kwangu.

Huwa nacheka sana kwa mtu anaetumia maneno kuzungumza kama mpoki na wengineo kina erric omondi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulitaka aongelee mambo ya maendeleo kwenye stand up comedy? Au unadhani hiyo ni kampeni, Mpoki ndio best stand up comedian bongo PERIOD!!!!
Huyu? Hajui kuchekesha. Anaongea pumba akidhani ndo vichekesho. Very childish. Kwako ndo mchekeshaji bora? Au wewe ndo mpoki mwenyewe umekuja kujinadi. Mimi hata unipe na pesa siwezi kaa msikiliza mpoki.siwezi.anatia kinyaa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu? 😳😳😳😳😳😳 Hajui kuchekesha. Anaongea pumba akidhani ndo vichekesho. Very childish. Kwako ndo mchekeshaji bora?😳😳😳😳😳😳 Au wewe ndo mpoki mwenyewe umekuja kujinadi. Mimi hata unipe na pesa siwezi kaa msikiliza mpoki.siwezi.anatia kinyaa.....
Mkuu unaijua pesa wewe? Au umejiandikia tu, yani nikulipe afu ukatae kumsikiliza? Kwa utajiri gani ulionao?
 
Kuna tofauti kati ya kuwa mchekeshaji na mropokoji. Huyu jamaa ni mropokaji na mara nyingi mdhalilishaji kwa kuamini kuwa anachekesha. Anyways umesema vizuri kuwa ni bora kwa upande wako.
Sometimes anakosea kama binadamu kama ile kumsema stamina kuwa na ufupi ule.mimi sipendagi kumpknda mtu kimaumbile na mpoki kuna time anazingua.ila hayo hayafanyi nisiikubali kazi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom