Rosa Ree: Nipo tight sina rambo, na-enjoy nikila tango

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,422
21,115
Wasanii wetu bhana siku hizi wana mbinu nyingi sana za kujitafutia soko la kudanga kwa kupitia sanaa zao wanazofanya.

Kauli hii imethibitika vilivyo baada ya rapper wa kike anayesumbua hapa nchini Rosa Ree kuachia wimbo wake wa One Way.


Katika huu wimbo asilimia kubwa Rosa Ree anasifia maumbile yake ya ndani kwamba yanavutia sana tofauti na wanawake wengine.

Mfano kuna kipande ameimba hivi " Nipo tight sina rambo, nainjoi nikila tango" huu ni mfano tu wa mashairi katika wimbo wake wa One Way humo ndani kaimba matusi matupu na haswa ukiangalia video yake ndio kabisaaaa.


rosa_ree-20180901-0001.jpg
 
Back
Top Bottom