Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Lord eyes popote ulipo huu ujumbe ukufikie sio kwamba ninakuogopa kukuchana face to face ila nimeepusha shari isiyo na msingi. Lord eyes tabia ya kuokota okota malaya hovyo itakutokea puani ,ipo...
5 Reactions
81 Replies
14K Views
Wakuuu habari za mida Okey ni hivi Najua unamjua na unampata sana black America (Eddie Murphy) basi leo nakwambia jamaa ana uwezo wa kucheza Character Zaidi ya Tano, ipo hivi leo nakwambia kama...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Watu marufu marekani hasahasa wasanii wa muziki kama 50 cent wameshambulia vikali msanii mwenzao tekashi 69 ambae yuko rumande uku akisubiria hukumu ya miaka 47 ndani. Sasa swala limekuja baada...
3 Reactions
75 Replies
14K Views
Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani. Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye...
2 Reactions
102 Replies
12K Views
Licha ya kuwa Salama Jabir ni kati ya watangazaji wachache wenye mvuto na waledi kwenye career yake hiyo, Msanii wa hip hop, Nikki mbishi, amemvaa Mtangazi huyo mwenye hulka ya ki tomboy na...
21 Reactions
100 Replies
12K Views
Yametimia baada ya yule dada maarufu kwa kutembea na serengeti boys aka dogodogo kumpa kibuti kikali aliyekuwa mpenzi wake yaani Nuhu Mziwanda. Mtakumbuka mapenzi yao yalibamba sana hasa baada...
3 Reactions
181 Replies
59K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Yule msanii wa kizaz kipya shilole aka zuwena shishiii beibii kutoka igunga anadaiwa kumchapa makof mpenz wake...
3 Reactions
119 Replies
19K Views
Wasalaam wana jamvi! Msanii Diamond Platinumz na muhariri mkuu wa wasafi media uenda wakaingia matatani kwa kudaiwa kukiuka sheria ya takwimu na ile sheria ya habari zinazo kataza chombo cha...
7 Reactions
60 Replies
8K Views
Anaandika Mange Kimambi A letter to my brother Anil Since baba amefariki in 2004 I have tried to be the best sister I can be. Siku zote nimewaweka nyinyi mbele yangu mimi. Nimejaribu...
28 Reactions
506 Replies
58K Views
August Alsina (27) amerudi kwa kishindo kwenye muziki, amethibitisha kuwa kwenye mahusiano na mwanamama Jada Pinkett. Kwenye mahojiano na Podcast ya Joe Budden, Alsina ambaye ameachia album mpya...
2 Reactions
135 Replies
14K Views
Kwa mujibu wa FB page yake Jokate amejibu issue yake na Wema ya kumchukulia Diamond na nukuu... "Mie nimpore Wema Diamond, that is too low for me ingawa Diamond alionyesha interest but I have one...
0 Reactions
142 Replies
43K Views
Habari za asubuhi Watanganyika wenzangu. Lengo la kuwapa ajira wasanii bila shaka inalenga kuwapata wasikilizaji, kuwagombea audience kutengeneza base. Zembwela hata mie amenivutia kumsikiliza...
5 Reactions
62 Replies
6K Views
Hellow wadau mambo vipi. Unajua Nini nilikuwa nacheki TV dakika kadhaa zilizopita nikamona Ali Kiba na wimbo wake. Basi nikakumbuka kitu huyu Ali sijasikia akitoa pole, rambirambi wala kufika...
3 Reactions
66 Replies
7K Views
Nimefuatilia sana kwenye radio na mitandaoni pia nimegundua kuna watu wako vizuri sana kwenye usomaji wa makala. Top 3 yangu hii 3. Spesho Kabwanga (kituo chake youtube) anasomaga pia kwenye...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Miaka ya nyuma nyimbo zilikuwa zikitoa ujumbe wa mapenzi (zilikuwa zikiitwa nyimbo za mapenzi) kwa mfano: TID ft Jay Dee - Understanding TID - Asha Jaydee ft Matonya - Anita TID - Zeze Dully...
7 Reactions
55 Replies
7K Views
wasanii wetu yawapasa wawe makini sana. Hebu ona haya mambo kutoka kwa mr.nice. (kwa hisani ya le mutuz) Katika hali isiiyokuwa ya kawaida mwanamuziki Lucas Mkenda maarufu kwa jina la Mr Nice...
5 Reactions
56 Replies
11K Views
Wana Jf Ukisikia mwanakuyatafuta na mwanakuyapata Ni pale msanii maarufu baada ya kuposti picha chafu za kumdhalilisha mwanae wa kiume mavazi ya kike na kumpamba mithili ya like. Wanamitandao...
6 Reactions
69 Replies
12K Views
Mastaa wa kike wenye ushawishi mkubwa haswa kwa wanawake na wenye mamilioni ya mashabiki, wameonyesha kuchanganyikiwa na kipaji pamoja na kazi za Zuchu msanii wa kike toka WCB. Wamekuwa wakipost...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Akiwa mmeposti kwenye ukurasa Wake Wa Instagram kasema " Trust Me kutokuwepo kwa Tuzo kwenye Muziki Inapunguza Thamani ya Muziki Tanzania Maana sasa hivi tumebaki kushindania YouTube tu ngoma yako...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom