Young Killer: Joh Makini anabebwa, hili lipo wazi

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Msanii Young Killer anadai Joh Makini anabebwa na kudai ni suala ambalo lipo wazi kwa kuwa watu wengi wanalizungumzia
Amemtolea mfano Chid Benz kulisema hilo lakini akasema tena sio yeye anasema bali me quote yanayosemwa na watu.

 
Joh kaanza game Dogo ndo anatambaa. Wengi wamekuja nakupotea Joh amekaza. Leo Joh anatafuta namna ya kuvuka boda Dogo ambae hana ata ustaa Wa Young Dee anamdisi. Akili au matope.
Eti anamkubali Ngosha Wa kukopkop.
Dogo anaquot Chidbenzi, ndo Roll model wake anatakua kama Chid labda.
Joh anaga ata maneno ye anafanya yake.
 
Lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Nikiangalia muziki anaofanya Joh utaona kuna nguvu kubwa ya kuufikisha kwa walaji wasiousikiliza. Namuona mdogo wake anavyohaha kila siku pale Clauds kujipaisha kwamba wao ndio miamba ya kaskazini. Dogo Janjaro aliliona kungali mapema ndio maana ametoka Ngarenaro na kwenda Manzese, tuwaache walaji waamue wenyewe kama ilivyo kwa Darassa!!! Ukimuuliza Darassa ametumia kiasi gani kuupaisha muziki wake ataishia kucheka na kukwambai "Acha maneno fanya muziki".
 
Sikatai kuwa jo ni mkongwe ila media hasa zile zinazokaliwa na watangazaji wachaga wamekuwa wakilazimisha kutuaminisha kuw joh ni mkali kuliko wengine kitu ambacho sio kweli yaan joh huwa anahit hata akiimba ujinga tofauti na marapa wakali kama fid q au roma wanatoa nyimbo kali ila huwa zinabaniwa ila joh anapewa promo sana kuliko uwezo wake jamani
 
Back
Top Bottom