Harmonize aligoma kupokea mkono wa King Kiba ila leo Bosi Sallam amegoma kupokea mkono wake imekuwa nongwa

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,295
20,970
Jamani msijisahaulishe, hivi mmesahau tukio la harmonize kugoma kushikana mikono na Ali Kiba? Sasa leo Bosi Sallam amegoma kushikana mikono na harmonize imekuwa nongwa

Yeye mwenyewe ameshawahi kukatisha show kisa alimuona bosi Sallam ameingia na akamtumia kibaraka wake H mama kuongea maneno ya shombo.

Unafiki haufai, tujitahidi kuwa real itapendeza zaidi
 
Wasanii wapuuzi tu hadi kwenye mazishi ni kiki,mazishi ya ruge wcb walienda kutafuta kiki huku wameingia na mabaunsa kibao kuvuta attention ya watu.

Leo tena inashangaza kwenye msiba Diamond kasimamiwa na mabaunsa na harmo kasimamiwa na mabaunsa pia,mtu anakaa mabaunsa wanamsimamia kwa nyuma,aisee wasanii hii tabia za kufanya kiki kwenye misiba ni upuuzi
 
kwa mentallity ya salam leo,dogo hermo hakua na budi ya kuwa na mabodyguard..
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom