By Sangu J
Nimeona madai ya Konde Boy Mjeshi, @harmonize_tz kuhusiana na kutokuwepo kwa Tuzo na kusema inafanya muziki wetu usipige hatua na ameeleza inafanya Wasanii wenye vipaji wasioneshe...
Habari zenu wakuu,
Poleni na majukumu na mihangaiko ya kila siku ya kutafuta riziki hasa kipindi hiki cha nchi yetu kuingia uchumi wa kati.
Kwanza nianze kwa kuweka wazi kabisa mimi ni shabiki...
Wakati ambapo Shilole anaendelea kumuomba Mungu amalizie mjengo wake uliopo Kimara jijini Dar es Salaam, Fid Q anaonesha kuzungusha mkwanja alionao kwenye biashara ya madini.
Shilole amepost...
Serikali imesema kuwa imeokoa na kurejesha mamilioni ya fedha kwa familia za marehemu Mzee Majuto pamoja na familia ya marehemu Steven Kanumba kupitia mikataba ya kazi walioingia wakiwa hai.
Hayo...
Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho...
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Half katelekezwa.
> Anasema yu tayari kupima DNA
> Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Katika fatilia yangu ya uchambuzi wa magazeti Wasafi Fm,aisee Zembwela anaboa kinyama yani. Maulid Kitenge bado ana mzuka wake uleule lakini akitaka kuweka vile vionjo vyake haipati sapoti...
Diamond anatikisa kichwa na kucheza kwa hisia kali sana na kuenjoy sauti ya king kama king, diamond inaonekana alimiss mziki mzuri, boss wenu amenyoooka
Officialshilole Naandika haya, nikiwa na akili timamu na utulivu, La kwanza kabisa nataka KUOMBA RADHI JAMII YANGU. Naomba radhi kwa sababu niliwaaminisha ndoa yangu haina tatizo, huku ukweli...
Uchebe akihojiwa na kituo kimoja cha radio anasema picha zilizopostiwa mtandaoni ni za mwaka jana na kwamba mwaka huu hajampiga Shilole kabisa.
Anasema madai ya Shilole kupigwa siku ya sabasaba...
Huyu Jamaa ananifuraishaga sana, wala hatumii nguvu ku trend, he is comedian naturally, Ana kipaji mno, Sijui kama kuna mtu anamchukia huyu jamaa.
Na kuhusu kupenda kum attack peter msechu Sijui...
Huyu mheshimiwa nilianza kumsikia kupitia redio fulani ya dini mwaka jana kama sikosei. Baadae nikamsikia ile redio yenye beef na mbunge ana kipindi cha weekend tu sijui wiki nzima ndo anakula...
Mastaa wabongo ambao hawaivi au kupikwa chombo kimoja wapangwa meza moja ya wageni waalikwa ikulu Chamwino Dodoma kwenye sherehe za kuweka mchanga.
Je, nafsi zao wanaongea nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amebanaaaaa weeeee mwishoni kaachia.
Kachoka masikini ya Mungu kupishana na fuko la hela maana kutomzungumzia Diamond Platnumz ni...
Huyu jamaa alikuwa ni producer mkali, ametengeneza ngoma zilizo-hit sana miaka hiyo ikiwemo ngoma nyingi za Banana Zorro kama Niko Radhi, Hafsa Kazinja - Pressure na ngoma kibao.
Miaka ya...
Binafsi sijawahi kumkubali Joyce Kiria kiviile japo ana mambo ambayo huwa anafanya yana positive impact kwa jamii ila kuna mahali huwa anajichanganya sana hadi mtu unajiuliza huyu mama...
Nimekuwa nikifatilia performance nyingi zinazowakutanisha Alikiba na Diamond jukwa moja, huwa inampanikisha sana Diamond na kupelekea kufanya performance mbovu sana. Kama mnakumbuka kwenye Tuzo za...
Baada ya Flora kufeli kumpa kesi nzito ya kuhujumu uchumi aliyekuwa baba mchungaji Emma Mbasha ,hatimaye jamaa amemtambulisha mchumba wake kwa jamii na wanatarajia kutoa albamu yao mpya ya pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.