Kanye West Teams with Gap
Bold Partnership will Bring YEEZY Apparel to the People with New YEEZY Gap Line
West and Gap Relationship Comes Full Circle as the Visionary Creative and Cultural Icon...
Hivi karibuni Mwanamama zari the boss lady ametoa povu kubwa kwa baadhi ya watanzania wanaomfuatilia Sana maisha yake ingawa Zari ana mapungufu yake binafsi lakini kwa Hili povu aliyotoa...
Kabla ya kuitwa channel 5 (EATV) ilifahamika kama ITV2, mnamo mwaka wa 2004 ndipo ilibadilishwa jina na kuitwa EATV au channel 5.
Inafahamika ITV na EATV zote ni Mali za mtu mmoja na kampuni ni...
Huyu jamaa angetulia vizuri now angekuwa mbali mnoo.
Shida ni kiburi na kujiona yeye anajua kila kitu..
Kashagombana. Na wengi waliomtoa ikiwemo mlezi wake kid bway..huyu jamaa ndo aliemtoa...
Kuna mwanamuziki amewahi kusema "usupastaa ni zigo la misumari".
Unapokuwa supastaa, jamii inakuwa na haki ya kukusulubisha ipendavyo kwani wewe ni "public figure" na chochote unachofanya kinakua...
Wafuatao ni wabunge warembo zaidi katika lililokuwa bunge la 2015-2020 lililovunjwa mwezi huu June 16
1. Upendo Peneza
Huyu alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA akiwakilisha mkoa...
Naomba kujua.
Mbona Clouds FM imepewa masafa ya mwanzo mwanzo kabisa kuliko redio yeyote ile Tanzania? 88.5 FM Dar, 88.4 FM Pwani, 88.5 FM Moro, 88.0 FM Tabora, 89.3 FM Kigoma, 87.9 FM...
Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo...
Wasanii wako ni wachanga sana, unatoaje wimbo wako siku 1 baada ya kutoa wimbo ya msaani wako?
Kinachotokea watu wataconcentrate kwenye ngoma yako, Coz we mkubwa kuliko wao....
Kati ya wanamuziki ambao wana kipaji haswaa na ni mafundi wa kuimba basi Ramadee ni kiboko yani ni sawa na Ed Sheeran wa Marekani vile, lakini kwa sasa alieukamata mziki wa Tanzania ni Diamond...
(Adam kijana mwenzangu umeanza CLouds fm siku nyingi sana lakini angalia jinsi ambavyo unatengwa. Angalia jinsi ambapo huaminiki.
XXL ni wewe ndiyo ambaye unaibeba..Kipindi cha Bongo fleva...
Habari za Usiku huu Wakuu Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima,
Now nimeshaona show za Wasanii mbalimbali Kupitia Show ya Homa kupitia channel ya TV E!, Katika kuona kwangu sijamuona Diamond je...
Salamu wan JF,
Tafadhali naomba kujua historia fupi ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili aitwaye Christina Shusho.
Mbarikiwe kwa msaada wenu
============
Ni mtumishi wa Mungu wa ukweli. Ana...
Kweli bila kumtumikia ibilisi hii dunia unapotezwa upesi sana.Akina Nandy na matusi yao wana trend na wataendelea kwa nguvu ya vyombo vya habari vingi vikiwa vya ki illuminat.
Naukumbuka sana...
Habarini ndugu wana jukwaa!
Nimefuatilia sana kuhusu hii trend ya baadhi ya media kutopiga nyimbo za baadhi ya wasanii na mara zote nakosa majibu kwa kuwa hakuna media inatoa sababu za kwanini...
Diamond anajua sana aisee, kwamfano kwenye ile official video ya nyimbo ya gere (tanasha x platnumz) kuanzia ile dakika ya 1:57 mpaka dakika ya 2:15 jamaa kaonesha body language presence ya hali...
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Platnumz akiwa chini Ufaransa ameweza kufanya tukio kubwa sana la Kuperfom wimbo wa TETEMA kwenye birthday ya aliyewahi kuwa mchezaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.