Clouds TV wamekatisha matangazo ya moja kwa moja baada ya Diamond Platnumz kupanda jukwaani

Hii tambia ya CLOUDS TV kuzima matangazo ya mkutano mkuu kila akitajwa Msanii wa WCB wanakata matangazo wana maana gani wadau hii imekaaje mana kama wameaua kurusha matangazo chochote kitachoendelea wanatakaiwa kutupa kila kina choendelea lkn wageni wamepanda jukwaa akina Alikiba, Billnas na wegne lkn alipopanda Diamond na zuchu walizima matagazo.

Nawasilisha hoja wadau imekaae hii
 
Yaani leo clouds tv wameonyesha chuki ya wazi wazi mara baada ya Diamond kupanda jukwaani
Mwaka jana mwishoni uongozi wa WCB Wasafi kupitia mwanasheria wao walipeleka barua Clouds Media kuwataka wasithubutu kupiga nyimbo au content yoyote inayomuhusu msanii wa WCB akiwepo Diamond.

Hatua kali za kisheria zitachukuliwa endapo Clouds Media watakiuka maelezo hayo.
 
Back
Top Bottom