Harmonize angeomba hili kabla ya tuzo

sangujoseph

Senior Member
Nov 30, 2015
164
183
By Sangu J

Nimeona madai ya Konde Boy Mjeshi, @harmonize_tz kuhusiana na kutokuwepo kwa Tuzo na kusema inafanya muziki wetu usipige hatua na ameeleza inafanya Wasanii wenye vipaji wasioneshe vipaji kwa sababu anaImpressions chache Mtandaoni.

Hii hoja imenigusa Kwa sababu Tu siku kadhaa Nyuma nilikua nikiijadili na moja ya Rafiki zangu kutoka azamtvtz , aliniambia Bro hauoni kama mitandao inazima vipaji vya Wasanii wakali.

Nakubaliana Kuna uhitaji wa uwepo wa Tuzo Bongo, lakini swali langu ni moja Tu anaamini kipimo cha muziki mzuri kiwe tuzo Pekee Mimi nakataa Kwa asilimia 100.

Konde lazima ajue YouTube na Mitandao mengine ni Platform za Kumtangaza Msanii, kama ilivyo Radio, TV au hata Mwana anayeburn Sidii Mwenge, na tuzo ni Platform Tu ya kumtangaza Msanii, Tuzo haioneshi Ubora wa Msanii inamtangaza na kuonesha ukali wa hiyo kazi, kwa hiyo YouTube ikienda Trending means Ngoma Kali na kwenye tuzo means kama Ngoma Kali itanyakua tuzo au itaingia kwenye Top 20 za Radio / TV.

Kwanini tuzo inamtangaza Msanii Mshindi anayepatikana kwenye tuzo 50% huwa zinakua ni Kura za Mashabiki na the Rest huwa zinakua njia nyingine ilivyofanya vizuri kwenye Njia alizojitangaza kama Radio, TV, Blogs na Mitandao, ambazo Napo utawauliza Watangazaji, MaDJ, na Wasanii ambao na wao kipimo ni nyimbo inayopendwa naashabiki na theme iliyopo.

Anasema wasanii wanahangaika kupata Subscriber, ajue subscriber ni kama wasikilizaji wa Radio au Watazamaji wa TV, Msanii kazi yake ni kumshawishi akusikilize au akutazame wakiomba subscribers lengo ni ajitangaze zaidi.

Ukija kwenye tuzo bado kuna shida Kwa sababu kuna Wasanii wa TZ wanamashabiki mpaka nje ya nchi, mfano Tu diamondplatnumz alifikisha views Bil. 1 lakini asilimia 50 wanatokea Kenya, unadhani Kesho awaambie Ninashindania tuzo TZ nipigieni Kura kuna mtu atakayempata, utasema mbona MTV hachukui kila siku nitakwambia kule anashindana na Davido na Wizkid , wenye mashabiki wengi kuliko yeye.

Mwisho tuzo za Ndani ziwepo lakini hatujengi tunashindana wenyewe Tu na wenye mashabiki wengi watashinda, angeomba ushirikiano, tuutangaze mziki nje

Tazama majibu aliyopewa hapa:-

 
Ndiyo kwanza gari lipo kibaha kuelekea musoma yeye anaanza kuomba kuchimba dawa 😃😃!
 
Daaaaah muda ufike ambaoo vijana tutaacha kulalama vitu vya watu kila siku Mondi, Kiba, Harmonize. Haya mfano wewe unamkoa Harmo lakini ndo anazidii kutua hivoo. Maisha yanaenda kasii. Tutafute kazii mzee muda wa kuanzisha Uzi huku tutatumia usiku tuone nyuz ngapi zimewakilishwaa. Over!
 
Baby come to my bedroom, come to my bedroom
I wanna show something you never see Yeah Yeah
 
Back
Top Bottom