Yuko wapi Allan Mapigo?

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,261
9,732
Huyu jamaa alikuwa ni producer mkali, ametengeneza ngoma zilizo-hit sana miaka hiyo ikiwemo ngoma nyingi za Banana Zorro kama Niko Radhi, Hafsa Kazinja - Pressure na ngoma kibao.

Miaka ya karibuni simsikii, kapotelea wapi? Ila Banana Zorro mkali aisee
 
allan Mapigo yupo MDB kama sound engineer chini ya maxmillian Rioba..
 
Wengi tu siku hizi wapo kimya Sana
1. Malone Linje
2. Mika Mwamba
3. Rajabu Marijani
4. Yule jamaa(Bizman?) wa Sound Crafters?
 
Nakubali sana ngoma alizomtengenezea V2 , yule dada wa kule Zanzibar chini ya Chuchu Yussufu (Mzee Chuchu).
 
Back
Top Bottom